justine lowasa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 727
- 794
Azam TV ndo Chanel ilobakia! Hawa wanaotegemea mikopo ya serkali na biashara haramu lazima wamtumikie bwana wao
Azam TV ndo Chanel ilobakia! Hawa wanaotegemea mikopo ya serkali na biashara haramu lazima wamtumikie bwana wao
mbona star tv Jana wameirusha jamani kwenye taarifa ya habari?Hata mimi nimeshangaa sana hakuna hata sehemu ilipoonyeshwa? Safari bado ni ndefu
Haha juzi kama ulichek ile habar ya msba kwa jk waliwataja viongozi wote wakubwa walohudhuria isipokuw mboweFred uko sahihi, Tunawapa nafasi ya mwisho
Tukubaliane kutokukubaliana. Simulizi ya waziri kivuli wa mambo ya ndani, aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi minne kwangu haiwezi kukosa kuwa habari ya kitaifa, hata kidogo! Lakini ukisoma headline ya Nipashe ya leo kuhusu habari hiyo kwa watu wenye pua zenye uwezo mkubwa wa kunusa, wanaweza kunusa harufu fulani. Kwakuwa Nipashe na ITV ni dugu moja hebu tuendelee kufuatilia...Mkuu Lema alivyopata dhamana habari yake iliwekwa ya kwanza kabisa mbele hata ya habari ya ziara ya Magufuli Mtwara. Jana Lema kafanya mkutano na wananchi wake wa Arusha mnataka iwe habari ya kitaifa pia? Hivi wabunge wangapi wanafanya mikutano huko majimboni kwao na hatuwaoni wakirushwa?
Tuache kuwa biased..
.
Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.
Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.
ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.
Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Nina miezi mutano sasa toka niache kuangalia vyombo vya habari Tz..wanafiki Tu.hawana lolote.Huko tuendako watu watutumia zaidi mitandao ya kijamii kupashana habari kuliko vyombo hivi vya habari ambavyo vinaonekana kutokizi malengo.
Media hizi zitaathirika kama jinsi mashirika ya Posta dunani yalivyoathiriwa na ujio wa simu za mikononi kiasi kwamba utumaji wa barua siku hizi umepungua sana na wamebakiwa na kazi ya kushughulikia barua za kikazi tu(za maofisi,n.k) .
Huko tuendako watu watatumia zaidi clip za mitandaoni na maandishi kupitia mitandao kupashana habari kama ilivyo sasa.