ITV mmewakosea sana watanzania

ITV mmewakosea sana watanzania

Walianza tangu juz kweny msiba wa mam ake jk, mtangazaji aliwataja viongoz wote walo udhuria excpet MBOWE! shame on them
Dah! Kumbe Mboye alikwenda msibani kwa ajili ya kupata selfie na JK ili arushwe na ITV, Akili zenu kama kinyesi
 
Nyie ITV kweli hebu tuambieni hiyo habari ya lema haikupata nafasi kabisa jana. tunaanza kupata mashaka na nyie na kama mtaendelea hivi basi mubashara yenu inatia shaka
 
Tuliishawashauri sana huko nyuma kuanzisha vyombo vyenu vya habari. Haiingii akilini kumlazimisha mtu aandike au akave habari ambayo kwake haina tija.
 
Huko tuendako watu watutumia zaidi mitandao ya kijamii kupashana habari kuliko vyombo hivi vya habari ambavyo vinaonekana kutokizi malengo.

Media hizi zitaathirika kama jinsi mashirika ya Posta dunani yalivyoathiriwa na ujio wa simu za mikononi kiasi kwamba utumaji wa barua siku hizi umepungua sana na wamebakiwa na kazi ya kushughulikia barua za kikazi tu(za maofisi,n.k) .

Huko tuendako watu watatumia zaidi clip za mitandaoni na maandishi kupitia mitandao kupashana habari kama ilivyo sasa.
Naanza kupunguza gharama za kulipia king'amuzi
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
ungeangalia AZAM TWO taarifa ilirushwa tena kwa kina kabisaa
 
Huko tuendako watu watutumia zaidi mitandao ya kijamii kupashana habari kuliko vyombo hivi vya habari ambavyo vinaonekana kutokizi malengo.

Media hizi zitaathirika kama jinsi mashirika ya Posta dunani yalivyoathiriwa na ujio wa simu za mikononi kiasi kwamba utumaji wa barua siku hizi umepungua sana na wamebakiwa na kazi ya kushughulikia barua za kikazi tu(za maofisi,n.k) .

Huko tuendako watu watatumia zaidi clip za mitandaoni na maandishi kupitia mitandao kupashana habari kama ilivyo sasa.
Wewe Salary Slip acha UKI.LA.ZA! Kutokizi ndo nini? Ni kutokidhi! CHADEMA kuna Vi.la.za sana,kuanzia Meya wao wa Ubungo BONIFACE JACOB! Utawajua tu wakiongea BIZAA,NIZAMU,ARIZI,TASIMINI,mlisoma shule zipi nyie VI.LA.ZA.?
 
Siku hizi mpangilio wa taarifa wa itv unaonesha wazi kuwa wanapangiwa na ccm cha kutangaza....WANAZIDI KUSHUSHIA HADHI N TAALUMA YA UANDISHI WA HABARA
 
Lawa of priorities!! ITV hawalitambui hili.

Hili nililiona mapema sana.Kuanzia kwenye msiba wa Mama mdogo wa Rais mstaafu pamoja na Hili la Godbless lema ni moja ya udhaifu mkubwa mno.

ITV haipo huru.
 
Wewe Salary Slip acha UKI.LA.ZA! Kutokizi ndo nini? Ni kutokidhi! CHADEMA kuna Vi.la.za sana,kuanzia Meya wao wa Ubungo BONIFACE JACOB! Utawajua tu wakiongea BIZAA,NIZAMU,ARIZI,TASIMINI,mlisoma shule zipi nyie VI.LA.ZA.?
Unafahamu matumizi sahihi ya alama za kiuandishi?.Unafahamu ni wapi nukta,koma,ulizo nk zitumike na wapi zisitumike?.Unafahamu matumizi sahihi ya herufi kubwa na herufi ndogo?.

ndo=ndiyo.
 
Haya ndo matatizo ya 'Corporate Media', zinapenda sana kusalimia huku zimevaa gloves. Ndo maana inabidi tuithamini JF na tuiunge mkono pale inapopigania mahakamani uhuru wetu wa kutoa maoni. JF Media ni wadogo lakini uhuru mkubwa sana, wengine ni ma-Media makubwa lakini wana uhuru mdogo kama sisimizi.
 
Ukawa, acheni upuuzi, anzisheni TV na Radio zenu, kwani RUZUKU MNAPELEKA WAPI? kila siku mnachota ruzuku kwa ajiri ya kesi za kijinga
Hata wakina sepenga walisemaga hayohayo wakiwa lumumba, pamoja na kunywa Maji ya bendera, hivi sasa wako cdm kwenye Mikono salama.
Hawaamini kilichotokea.

What goes around comes around .
 
Hii tabia ya kuwasemea watanzania ikome kabsa..wew nan wa kuwazungumzia watanzania?? Wew Rais? Au tulkwambia kama tumekosewa?? ITV wala haijatukosea kwan ww haja yako umuone lema kwenye Tv si umrecord umuweke kwenye TV yako umtazame?? ITV inafanya kaz kwa mujb wa sheria hakuna serikali imwambie isimrushe lema ...hv kama waliweza kumrusha lowasa kampen washindwe vp lema?? Kama meng alisema waz anamsapot lowasa ashindwe vp kumrusha lema?? Sikia nkwambie ITV n ktuo makini sana n superbrand Afrika....ila watu wapuuz na wajinga wanaotukana watu huwa haiwafagiliii kabisa...ITV sio kama ww hata kiongoz wako akosee bado unashindwa kusema.....ITv n zaidi ya kituo cha habari Tz.....Wew kama imekuuma nenda kamrecord lema.muweke kwenye TV yako ksha ibusu......Tabia ya kuwaongelea Watanzania ikome kabisa......Anayebeba nembo ya Tz kwa ujumla ni Rais wa nchi.....hasingeoneshwa tungesema ITV imewakosea watanzania maana n rais wetu tutake tusitake tulale tuamke ndye rais wetu......

Kama waziri wa mambo ya ndani kvuli...sisi hatujal sisi tunahtaj mawaziri kabisa wanaotambulika kisheria hadi nje ya Tz mawaziri wa bandia kwetu mwiko..........
 
Back
Top Bottom