ITV mmewakosea sana watanzania

ITV mmewakosea sana watanzania

.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
ITV ni chombo makini hakiwezi kuonesha habari za wapumbavu au misepetuko ya wapenda Jera
 
Disapointment. Kwa huku tunakoelekea tv tutawasha kuchek series tu. News tutaridhika na za huku huku JF ffs
 
Kwahiyo alitukana ili aje kuonekana kwenye TV? Kama hiyo ndio ilikua sababu ya kumkosea heshima Rais wetu, bora tu aendelee kupuuzwa na mambo yake ya kijinga!
 
MWANANCHI COMMUNICATION WAKIJA NA WAZO LA KUANZISHA TV STATION NAHISI AUA MEDIA NYINGI.
 
Icho kilishapoteza weledi tangu sizonje achukue usukani.

taarifa zilizopo ni kuwa wamekubaliana na ccm wasirushe habari za wapinzani watasamehewa kodi.
 
Disapointment. Kwa huku tunakoelekea tv tutawasha kuchek series tu. News tutaridhika na za huku huku JF ffs
Mm niliacha kuangalia habari baada yakuona kila habari ni yakusifia tuu jpm.habari zote napata mitandaoni.TV zinapotosha nakuficha ukweli.
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Si mlikuwa mnakisifia nyie.Sie kwetu azam wameonesha Jinsi alivyokuwa anatoa mapovu ya sabuni la ya mpapai,hakuwa na jipy kabisa zaidi ya kuonekana kuwa ni muangalifu katika matamshi yake
 
Azam wametoa coverage ya kutosha. Mi nilishaacha kuangalia ITV loong. Ila na hawa Azam ni kama hawakuonyesha habari ya bashite lakini cha kushangaza wakaonyesha mdogo wa Gwajima akimponda kakake. Vituo vingi havina vifua vya kutoa taharifa bila upendeleo. Ndio maana social media zitaendelea kuwafunika
 
Hv c ndio hii ITV mliyokuwa mnaisifia na kudai haina upendeleo...
 
Duu!! Nilikuwa naipenda sana media hii sasa ...mmmh... Kwa hiyo media iliyo nzuri ni ipi wadau?
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Usiwaze ndugu, ile habari yote tunayo. Teknolojia imekua sana.
Hata mkutano ule kufanyika ni tukio la ushindi dhidi ya watawala waliosema wamezuia siasa.
Mdogo mdogo tutafika. Usikate tamaa.
Kama umefuatilia kwa ukaribu, utagundua kuwa hata serikali yenyewe imeshapoteana.
Hawana vipaumbele. Kila mtu anaongea na kutoa amri zake. Ubabe kila kona.
Mambo ya msingi hayaongelewi.
Hizo ni dalili za taifa lililokosa dira.
Tutaona mengi sana, na bado.

By the way, umesikia gharama za kumpima faru John DNA huko South Africa?
 
Acha hisia za kitoto! Kwani habari hiyo ilikuwa na maslahi gani kwa taifa?
Habari ipi ya kiongozi gani wa sasa wa serikali ilikuwa na maslahi kwa taifa?

Sitaki kuamini umepata simu mpya unafanya mazoezi ya kupost!
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
ITVCCM dugu moja
 
Muongo wewe mbona kwenye gazeti la nipashe IPO..nunua gazeti usome kuonyesha speech za lema kwenye TV inahitaji editing za kutosha ili kituo kisiingie kwenye matatizo
Kauli hizo hizo zinatumiwa na watawala wako.
Sema kuna mbabe na mnyonge. Usiongelee editing.
Hata hivyo tunamshukuru Mungu, yupo nje kwa dhamana
 
Back
Top Bottom