mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,454
Ufo saro anaripoti mdororo wa abiria katika kituo cha ubungo na madereva na wabeba mizigo wanalalamika hali imekuwa ni ngumu
Hahaah.. ndiye huyu mkuuEnzi za ubatizo wa moto zinaanza.......sijui mbatizaji ndio huyu aliyetabiliwa na retired comrade lt yusuph ama tumngoje mwingne!
Senseless mass hysteria, mbona club, bar, grocery, vilabu vya kitimoto, madanguro, yote yanafurika?
Senseless mass hysteria, mbona club, bar, grocery, vilabu vya kitimoto, madanguro, yote yanafurika?
We jamaa bingwa wa fix nahisi ni mwanachama wa Chama Cha Majinga(CCM)Senseless mass hysteria, mbona club, bar, grocery, vilabu vya kitimoto, madanguro, yote yanafurika?
HahahaHuenda watu wameamua wapumzike tu wasisafiri