TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,286
Kweli mkuu ,paka wangu karudi nyumbani!
....siku sio nyingi narafiki zake alio kuanao huko watahamia kwako
Kweli mkuu ,paka wangu karudi nyumbani!
Eti wanasema uchumi umepata mdororo...umelala doro.
Hii kauli inanikumbusha huu wimbo
Aaah.. hali tete mkuu, mimi leo nimechelewa kutoka nikajua nateleza tu watu wameshaenda mkoa, wee folen kama kawaaa... wauza nguo k.koo nao hali ngum hataleeeHuenda watu wameamua wapumzike tu wasisafiri
Jaman umenichekesha sanaKweli mkuu ,paka wangu karudi nyumbani!
basi katisha!katumia tafsida
Ufo saro anaripoti mdororo wa abiria katika kituo cha ubungo na madereva na wabeba mizigo wanalalamika hali imekuwa ni ngumu
Mmh... sitaki kuwa wa kwanza kuaminiNa hapo tulikuwa tunamalizia masalia ya Baba riz, sasa ndio tunaingia mwaka OG wa Yohana.
This time watu wasipopiga mbizi au kutembea kwa miguu, mpaka majumbani kwao sijui.
Chief hali pia ktk madanguro ni tete wauzaji wengi wanunuzi hamna wa2 imefika hatua wana negotiate kutoka 5000 hadi 3000 kwa goli.Panajaa kwenu mkuu (sijui wapi?) Maana mahali pengi hali ni tete, bar na grocery wafanyakazi wanapunguzwa. Vituo vya nyama ya kitimoto wanapunguza idadi ya kilo, club Wateja ni kiduchu. Hii ni kwa mujibu wa maeneo niliyotembelea hivi karibuni.
Sina hakika sana na huko madanguroni.
Ufo saro anaripoti mdororo wa abiria katika kituo cha ubungo na madereva na wabeba mizigo wanalalamika hali imekuwa ni ngumu
Nani kakwambia mabasi ya kwenda huko hupati ticket mpaka tarehe 25 labda waongeze mengine nenda kashuhudie usisubiri kusimuliwa.Akina Shimbonyi Meku hawaendi kwa sensa?
Nani kakwambia mabasi ya kwenda huko hupati ticket mpaka tarehe 25 labda waongeze mengine nenda kashuhudie usisubiri kusimuliwa.