ITV: Mabasi yaegeshwa kituoni Ubungo kutokana na kudorora kwa abiria

Hali ya usafiri yadorora? huyo mhariri wa itv arudi shule,angesema kudorora kwa uchumi ningemuelewa!
 
Senseless mass hysteria, mbona club, bar, grocery, vilabu vya kitimoto, madanguro, yote yanafurika?

Panajaa kwenu mkuu (sijui wapi?) Maana mahali pengi hali ni tete, bar na grocery wafanyakazi wanapunguzwa. Vituo vya nyama ya kitimoto wanapunguza idadi ya kilo, club Wateja ni kiduchu. Hii ni kwa mujibu wa maeneo niliyotembelea hivi karibuni.

Sina hakika sana na huko madanguroni.
 
Leo nimeshuhudia kwenye taarifa ya habari ITV nilikuwa kijiji cha mwapolu chato ,geita nikaona madereva wa mabasi yaendayo mkoani wakilalamika kuwa abiria hakuna uchumi mbaya sana tofauti na miaka mingine pia wabeba mizigo stendi ya ubungo wasema mizigo hakuna .

Source: ITV
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom