ITV linavyochemka chemka!

ITV linavyochemka chemka!

Kwameh

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
1,793
Reaction score
2,160
Main news story waliyoanza nayo ITV usiku huu wamedai JK na vyama vya siasa n.k wamekubaliana BMK lisitishwe mpaka baada ya uchaguzi mkuu.

Wakamweka John Cheyo, Mwenyekiti wa Taasisi ya Demokrasia, akisoma taarifa ya makubaliano hayo. Yeye kasema, very clearly tena kwa kurudia rudia, kwamba kura ya maoni imesitishwa mpaka baada ya uchaguzi.

Sasa kipi ni kipi, Bunge Maalum linasimama au linaendelea?

Hili stensheni la ITV linaajiri mijitu gani ya kutaarisha national news jamani?
 
wakipotosha na hata wasipotosha yote sawa,hilo bunge hamna chochote wanachojadili
 
Main news story waliyoanza nayo ITV usiku huu wamedai JK na vyama vya siasa n.k wamekubaliana BMK lisitishwe mpaka baada ya uchaguzi mkuu.

Wakamweka John Cheyo, Mwenyekiti wa Taasisi ya Demokrasia, akisoma taarifa ya makubaliano hayo. Yeye kasema, very clearly tena kwa kurudia rudia, kwamba kura ya maoni imesitishwa mpaka baada ya uchaguzi.

Sasa kipi ni kipi, Bunge Maalum linasimama au linaendelea?

Hili stensheni la ITV linaajiri mijitu gani ya kutaarisha national news jamani?

Ungeachia jukwaa likatoa conclusion ingekuwa vema zaidi lakini ulianza kwa kuhabarisha mwishowe ukatoa hukumu
 
Ingekuwa kwa wenzetu mhariri angeacha kazi kwa hiari yake kwamba kazi imemshinda... ila hapa (nchi ya ujanja ujanja) utamuona mhariri kesho anachekacheka akiomba msamaha.
 
mleta mada una lako jambo na mengi? mimi nimeangalia tbc 1 taarifa aijatofautiana na itv na wao wamekosea?
 
halafu wanajisifia supa brand.habari zao mbovu sema watu turishawaamini toka zamani ila sasa hawana kitu.kila siku wanaomba radhi habari imefanyaje sijui yaani makosa mengi kila siku.halafu kuna waandishi wana weka mbwembwe mpaka wanaboa yani wanavyoongea kama anaimba au anasoma shairi
 
Mleta mada uwe unakuwa makini kusikilisha walisema hvi mchakato wa katiba kusitishwa hawakusema BMK kusitishwa maana yake ni Kwamba BMK litaendelea ila upigaji kula umesitishwa mpaka baaada ya Election ya 2015
 
Tbc nao ndio madudu zaidi. Uchanganyaji picha za matukio ni hovyo kabisa. Mtangazaji anasema'tupate taarifa kamili',taarifa haitokei,anabaki yeye kwenye screen katoa macho kama mjusi kabanwa na mlango. Hii inatokea kila siku kwenye taarifa ya habari!
 
Nimecheka sana mpaka mwanangu wa nursery anayejiandaa kwenda shule akaniuliza...baba mbona unacheka asubuhi kuna nini?
 
Main news story waliyoanza nayo ITV usiku huu wamedai JK na vyama vya siasa n.k wamekubaliana BMK lisitishwe mpaka baada ya uchaguzi mkuu.

Hujalazimishwa kuangalia vituo ni vingi chagua kinacho kufurahisha.
 
Back
Top Bottom