ITV jamani, mmenunuliwa?

Baada ya uchaguzi, tutawakana nasi. Hali yakuzuia vyombo vya habari, niupuuzi mtupu na kinyume cha haki yakupata habari na kinyume na demokrasia. Ila watakija kunyoka tuu.
 
Tabia hiyo imeanza siku mbili hizi, sijui wamelishwa sumu gani..., maana huko nyuma ndo lilikuwa kimbilio pekee..., sasa eti mpaka habari za SCOUT zinatangulia habari za CHADEMA...?
SHAME ON ITV....
 
Itv wanazuga tu, maana kuna watu waliokuwa wameshaanza kuishutumu
 
Fisadi la sisim kila uchao matamasha, nakukesha, wenyewe hawalioni na hawaoni.
 

Nionavyo mimi wanatumia mbinu za kibiashara tu
Habari moto (hot news) implies mwisho lakini zingine zote zingine zote pamoja na matangazo zionekane na wengi. Au unasemaje
 
ITV wanakua na habari nyingi za maana ndio sababu habari za ukawa zinakua za mwisho
 
Halafu kuna mwenyekiti wa CCM Motogoro vijijini amesema watashinda kwa gharama yo yote. Sijui alimaanisha nini?
Nilmsikia asee tena alitoa macho balaa kuonyesha anamaanisha anachokiongea
 

Unawaza kununuliwa tu
Huwazi kama Lowassa ana bifu na Mengi 👆🏼👆🏼
 
JK amemuomba Mengi amsaidie kupooza mashambulizi ... Channel 10 wamepewa mshiko wa kutakata ... bahati mbaya sana wananchi hawana muda nao wanajua cha kufanya coming October 2015

Mkuu unamaanisha POLEPOLE katia mkono channel 10? Maana Leo wametangaza habari za Arusha Ila wametumia picha za maktaba, hawakujisumbua kutuma Camera Arusha.
 
Nionavyo mimi wanatumia mbinu za kibiashara tu
Habari moto (hot news) implies mwisho lakini zingine zote zingine zote pamoja na matangazo zionekane na wengi. Au unasemaje

Hakuna kitu kama hicho kwa Tanzania Media
Tatizo la ITV ni capacity ya kufanya editing ya vipindi on time!
 

Swagazetu swali hilo hilo ungewauliza TBC1
 

Sio lazima uangalie itv, kama vip uwe unaangalia tbcccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…