ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

Nimeangalia sana Mapambano ya Tyson tunaamka saa 10 alfajiri kwenda kuangalia kama 4km hivi kulikuwa na kama Bar hivi ,Tyson anamng'ata Evander Holyfield.

Nimeangalia sana Tamthilia ya Passion.

Bishanga Bashaija na kina Aisha.----Nyota Ensamble Rich Rich na Monalisa.
Passions ebhanaee nimemkumbuka Timmy 😄 lets go Timmy
4177.jpg
 
Back
Top Bottom