Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,861
Hapa ndio nakumbuka ule msema, mpumbavu akivishwa kilemba ndio utajua sipidi yake
Kweli aseeHapa ndio nakumbuka ule msema, mpumbavu akivishwa kilemba ndio utajua sipidi yake
Cha soda...... Kile kipo maeneo ya mikocheniKiwanda kipi mkuu!!!
ITV ni mdaiwa mkubwa wa serikali, akifanya mchezo anafilisika. Tangu enzi za Nyeree aliwapa mahela kutoka benki kuu mpaka leo deni halijaisha na linaongezeka.Yani Hali inavyoendelea
Kuna siku ITV, huenda serikali itakuwa inadaiwa Trillion 90 wao watasema Trillion 9.
Mkuu kama vipi rudia kutazama taarifa ya habari ya leo alafu utaniambia....... Istoshe superbrand gani inatumia kamera za kizamani....... Studio watu wanang 'aa utazani wanakaanga vitumbuaDu? The super brand inavyopendwa namna hii wajameni..hapana bwana itikadi hizi tuziacheni
Sidhani mkuu,, haaawezi kuunganisha wanachotaka wao ni kuteka soko, ndio maana hata kwenye kebo hawapo.Kweli mzee....... Hivi azam ni lini wataweka chanel zao kwenye ving 'amuzi vingine km dstv, continental, sometimes n. K.
Daaah kweli asee..... Ila dstv ina vitu nayo..... Ntavimis piaSidhani mkuu,, haaawezi kuunganisha wanachotaka wao ni kuteka soko, ndio maana hata kwenye kebo hawapo.
Mkuu fanya maamuzi tu unakosa uhondo Sana.
Usiwe mjinga, ITV sio analysts wa mambo hayo, wanakutangazia wewe kama walivyopokea taarifa toka kwa chombo husika.Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya ITV ilipofika habari za biashara kuna habari wakaisoma eti "Mauzo ya hisa yameongezeka mwaka 2016 kulinganisha na mwaka uliofatia "
Yaan kwa maana nyingine ITV mmeshindwa kusema mauzo ya hisa yameshuka kwa mwaka 2017 kulinganisha na mwaka 2016.
Yaan kupigwa faini ndo mmekuwa mafisi hata kujaribu kuficha ukweli......
Kweli mmenyooshwa..... Ndo maana hata taarifa yenu ya habari hamjui hata mnataarifu nini......
Kwani ile habari iliyotolewa na taasisi ya haki za binadamu kuhusu uchaguzi wa marudio...... Wao c waliirusha kama ilivyo..... Uliza nini kiliwakuta...... Mbona ile ya lisu kuongea na vyombo vya habari nairobi hawakuirusha kama ilivyoUsiwe mjinga, ITV sio analysts wa mambo hayo, wanakutangazia wewe kama walivyopokea taarifa toka kwa chombo husika.
Ni chombo cha kutoa habari, hawafanyi analysis wao.
Kwani Ufipa Tv wametangazaje??
Iweke humu hiyo habari unayodhani ilikuwa sahihi tuione!Kwani ile habari iliyotolewa na taasisi ya haki za binadamu kuhusu uchaguzi wa marudio...... Wao c waliirusha kama ilivyo..... Uliza nini kiliwakuta...... Mbona ile ya lisu kuongea na vyombo vya habari nairobi hawakuirusha kama ilivyo
Wazamini wamelipia kumuonesha JPM akifungua tawi la benkIweke humu hiyo habari unayodhani ilikuwa sahihi tuione!
Siwezi uliza nini kiliwakuta maana unaongea kiufipa ufipa hivi.
Usiwapangie kurusha dk 70 za Tundu lissu anaongea Pumba, wana programs zingine zimelipiwa na wadhamini.
Mtanyooka tu!Wazamini wamelipia kumuonesha Lusifa akifungua tawi la benk
Zinakimbia au zinatishwa........ Hata Tunisia yalianza hivi hivi....... Uliza watu walipochoka nini kilimkuta yule raisMtanyooka tu!
Mpaka Tv zinaanza kuwakimbia, hamjajishtukia tu kuna kitu hakiko sawa??
Wajinga ndio waliwao. Wewe utakuwa ni dogo, hujui kitu.Zinakimbia au zinatishwa........ Hata Tunisia yalianza hivi hivi....... Uliza watu walipochoka nini kilimkuta yule rais
Daah unanifurahisha...... Eti watu wana kiu nae...... Stop kidding boss...... Ur so ridiculousWajinga ndio waliwao. Wewe utakuwa ni dogo, hujui kitu.
Unafananisha rais aliyekaa madarakani miaka kadhaa watu wakamchoka na rais aliyekaa miaka 2 na wananchi wake bado wana kiu nae??
Nenda shule dogo, kalale kesho uwahi namba.
Nampongeza kwa dhat kbs aliyefanya hiki kitendo kwsbb ni watanzania wenye catch up ya haraka tu ndio wameeza kuelewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya ITV ilipofika habari za biashara kuna habari wakaisoma eti "Mauzo ya hisa yameongezeka mwaka 2016 kulinganisha na mwaka uliofatia "
Yaan kwa maana nyingine ITV mmeshindwa kusema mauzo ya hisa yameshuka kwa mwaka 2017 kulinganisha na mwaka 2016.
Yaan kupigwa faini ndo mmekuwa mafisi hata kujaribu kuficha ukweli......
Kweli mmenyooshwa..... Ndo maana hata taarifa yenu ya habari hamjui hata mnataarifu nini......
povu la nini jombaa kwan ugomvi!!piga risas basi hamna security cameraIweke humu hiyo habari unayodhani ilikuwa sahihi tuione!
Siwezi uliza nini kiliwakuta maana unaongea kiufipa ufipa hivi.
Usiwapangie kurusha dk 70 za Tundu lissu anaongea Pumba, wana programs zingine zimelipiwa na wadhamini.