Thomas10
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 856
- 2,318
Wenzenu wanaogopa kushtakiwa kwa uchochezi
Maana kama wakisema mauzo yameshuka mwaka 2017 kulinganisha na 2016 maana yake habari hii italeta taharuki na mshtuko kwa wananchi, hususani wafanyabiashara na wawekezaji.
Na ikileta taharuki na mshtuko maana yake ni kiashiria cha uchochezi
Hivyo ITV watakula rungu kwa kusambaza habari yenye lengo la kuleta uchochezi.