ITV hata kama ni woga huu sasa umezidi

ITV hata kama ni woga huu sasa umezidi

Si ndo hao wanajiita super brand eh
Super brand inaonesha watu wamrpaukaaaaaaa........ Nenda kwenye vipindi vyao vya moja kwa moja studio utaona watu wanang 'aaaaaa...... Kama kimulimuli
 
ITV Mimi kitambo sana sijawahi kuangalia, toka waache kuonesha habari za kuikosoa serikali na kuwa wasifiaji tu wa serikali niliachana nao kabisa kwenye taarifa zao za habari, Mimi sahivi taarifa zangu ni kwenye mitandao ya kijamii tu inatosha sana
 
Back
Top Bottom