GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,453
- 127,633
Mtakufa nyinyi maana tayari mmeshajiaminisha kuwa mambo yataenda kama kawaida kwa miaka yote 54 ya uhuru, mkimsimamisha mtu basi ndiye huyo anakuwa rais wa nchi,mwaka huu mtaipata fresh
Mkuu ITV ni mali ya mchaga na chadema ni chama cha wachaga kwanini wasipendelee?
Serikali ya misingi ya haki na sheria ikiwastaafisha hao watumishi lazima iwalipe stahiki zao zote la sivyo ni vurugu.
Peleka ujinga wako huko,ulitaka waonyeshe ugomvi wa wazazi wako??magamba mmekwishaaa nyinyi
Watakipwa haki zao zote na Tbc itaendeshwa kisasa kuliko ilivyo sasa imekuwa ya CCM kama radio Uhuru na gazeti la Uhuru.
Sio Itv peke yake hata nipashe ni tatizo wanaandika unazi tupu
Naona CHADEMA / UKAWA Wote Mmenywea Ghafla Leo Baada Ya CCM Jana Kuweka Hadharani JESHI Lake La UHAKIKA Ambalo Litaangamiza Hadi Sisimizi Ardhini Kudadadeki.
Na wana hofu kubwa kuondoka madarakani maana wanajua kuwa siri zao na uhovu wao woote ndio utajukikana,wataikimbia nchi mwaka huu
Wakati Zitto anajiunga na ACT ulijipambanua kama wewe ni miongoni mwao, umerudi lini CCM?:majani7:
Wakati Zitto anajiunga na ACT ulijipambanua kama wewe ni miongoni mwao, umerudi lini CCM?:majani7:
Wataikimbiaje nchi wakati watuhumiwa hao wa ufisadi wote wamehamia chadema?[/QUOTE Wamehama wajukuu wazazi wa mafisadi na mafisadi wenyewe bado wapo ccm na wanajulikana ulimwenguni kote,hata wanyama wa porini watafurahia wakiingia ukawa madarakani
Ukiambiwa kuwa ni mjinga unakasirika,hivyo kwenye huo uoza wenu mliopanga jana kuna MTU mgani wa kuutetelesha ukawa?sana sana wamejaa watu wa ukawa na kila mtakacho kipanga mchana usiku kinafika ukawa,endelea kujidanganya
ITV ni independent television, ccm hamna haki ya kuwalazimisha na kuwapangia nini ni kutangaza kama nyinyi ccm mnavyo wapangia TBC kuandika habari za ccm
ACT na CCM ni chama kimoja tu, ni sawa na msukuma na mnyamwezi lao ni moja tu hawana jipya.
ACT na CCM ni chama kimoja tu, ni sawa na msukuma na mnyamwezi lao ni moja tu hawana jipya.
Sio kila anayekosoa ni mwana ccm.
Wataikimbiaje nchi wakati watuhumiwa hao wa ufisadi wote wamehamia chadema?[/QUOTE Wamehama wajukuu wazazi wa mafisadi na mafisadi wenyewe bado wapo ccm na wanajulikana ulimwenguni kote,hata wanyama wa porini watafurahia wakiingia ukawa madarakani
Kiongozi wa kuhama nchi ndio anayepeperusha bendera ya chama chako, ukatae ukubali, huo ndio ukweli mchungu.