Its too cold

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,160
Jamani hii baridi ya arachuga kama washingtown vile!Blanketi halitoshi jamani
Natafuta mchuchu wa kunilea kwa muda huu! PM zote zitajibiwa! Vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
khaa....nilijua naumwa.....kama leo ilikuwa hatari kabisa.....hv ni nini lakini.....
 
swity, yaani hata hauumwi mpenzi! Kuna baridi kali mbaya kabisa,nimevaa sweta,koti na nimejifunika blanketi lakini bado.
 
Yani heri nyie..mimi nipo Dar ila baridi nnayosikia acha tu...kweli malaria mbaya.
 
swity, yaani hata hauumwi mpenzi! Kuna baridi kali mbaya kabisa,nimevaa sweta,koti na nimejifunika blanketi lakini bado.

kuna viatu aina ya boots naona kila mdada amevaa town.....naomba uvitafute uvae na gloves....tusije tukakukosa.....
 
aiseee hata hautanii,ngoja nivae soksi kwanza maana kama nimewekewa ganzi vile.,vinauzwa wapi?nielekeze!
 
vipo pale friends corner.....na utapendeza zaidi ukipata na farasi....ila sasa pale farasi hawauzwi....
 
Back
Top Bottom