Its too cold

Its too cold

Nimegoma kutoka, fidia eti tsh 20,000 nitapata wapi pa kukaa miye.

khaaa,utafia kwenye mafuriko wewe.Ngoja niongee na wifi SL ana vijisehemu angalau akusitiri.
 
hivi umeiona hii hali....? hakuna mtu anacheza mbali na ngome sasa hivi....
Ndo naona hata font yako inaonesha unaandika mikono inatetemeka. Sasa tukileta lugha ya picha, umevalia nini apo mheshimiwa Preta ?
 
Last edited by a moderator:
leo vimwana vya arusha vinapatikana kiulainiiiiiiiiiiiii

chezeya baridi wewe...

klorokwini waite Asprini na Bishanga, bahati haiji mara mbili.......
 
Last edited by a moderator:
khaaa,utafia kwenye mafuriko wewe.Ngoja niongee na wifi SL ana vijisehemu angalau akusitiri.

Bora ufanye hivyo maana nimezidiwa....na hii mvua iliyonyesha leo hata hakupitiki.
 
Mpaka sasa sijapata hata PM moja,kweli nimeamini watu hawanitakii mema
 
Mpaka sasa sijapata hata PM moja,kweli nimeamini watu hawanitakii mema
Usihofu mimi nakutakia yote yaliyo ya kheri, mimi nipo hapa kwa Babu. Upo maeneo gani nikuibukie ili tuweze kuishinda hii hali ya hewa ya Siberia ilohamia Arachuga!.
 
Usihofu mimi nakutakia yote yaliyo ya kheri, mimi nipo hapa kwa Babu. Upo maeneo gani nikuibukie ili tuweze kuishinda hii hali ya hewa ya Siberia ilohamia Arachuga!.

kwa babu ndo karibu na wapi vile??nielekeze nije
 
Back
Top Bottom