Its too cold

Its too cold

Namuogopa huyo alokumbatiwa SL, asijenitoa roho bure.. Labda mwambie Erickb52 aweza nisaidia nilisikia anatafuta houseboy.

hehe remmy mdogo wangu,utakula wa chuya uvivu wa kupembua.
 
@Kabakabana uwe unakunywa chai kabla ya kulala
 
..pole bebii wangu..nakuja kukupa joto. Preta..nije na Whsky au Wine?
 
Last edited by a moderator:
Preta na Kabakabana mnalalamika bariiiidi ni juu ya nini?
hivi hamna watu wa kuwatoa baridi?
Ni nini kujilaza peke yenu kha....nyie mabinti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom