BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,224
Mh hapa unazidi kuharibu
Mh aisee nimepoteza kweli...
Smiling Saint mdogo wangu im so comfused..shem wako analia hapa...let us talk PM then ntakupigia later
Mh aisee nimepoteza kweli...
Smiling Saint mdogo wangu im so comfused..shem wako analia hapa...let us talk PM then ntakupigia later
Basi nakuruhusu nenda kambembeleze Amyner, akikuacha nitapata shida mie, nani atakufulia na kukupikia?
Maana hapa kwangu matumizi tu,
shughuli nyingine kwake.....
Hivi hapa kuna nini KInaendelea wajameni? Kama kuna mmojawenu anaweza kujitolea akaniambia kwa ufasaha....maana nina machungu Twiga jana wametolewa, leo sijui Taifa stars wametolewa,
sasa hapa...whats wrong Erickb52, Amyner, The secretary, Bishanga, Smiling Saint, BADILI TABIA, Mamndenyi, Remmy, Judgement, The Boss (sijui anafanyaje hapa) Qt B na wengineo!
analia nini wakati theboss kamletea
cheni ya gold kumpooza uchungu????
bibiee, kidole na jicho.
Inahusu nini???
Ina maana wote wanaosaidia omba omba wanawaoa?
Boss kampa amyner kama msamaria tu kumpoza machungu, atie timu kwangu anamnywesha sumu aloo
amyner kaa na mumeo, unadhani ndoa mchezo?
Mie hapa nilichitiwa hadi na visungura lakini sikuondoka, sasa hivi kazeeka twala vyetu
hivi huyu amyner alifundwa kweli?
Mnalo!
Heheheiiiiyaaa, imekula kwako bibie....
Alokwambia ukishinda jikoni kumpikia ndo utamchanganya The Boss nani?
Haya sasa wakati wewe unaota sugu kwa kusugua makoti na masufuria Amyner katulizwa, na mkufu mpyaaaa wa gold kanunuliwa.... Hapo unamuona katulia kaahidiwa spacio g-edition......
Gangamala amyner anakuovateki sasa hivi....
ha ha ha
amyner atakuwa anaota, mkufu wa zahabu kwa boss ni gesture ndogo sana.
Nimedhani kapewa nyumba mikocheni, kumbe kimkufu lol
shamba boy anaendesha Harrier, so sishangai saaana.
Huyu mtoto mdogo kuucheza mziki wangu, hivi anajua hata vibration ya kalio moja huyu?
Kwanza naskia Erick kamtema sababu hajui kuoga, he he he he nisije sema mengi lol
kuna tofauti kati ya busara na mzee wa busara wa Juma Nature.
Amyner mbona hivyo? Bishanga ndo walewale MAGUBEGUBE, never listen to him bana! i know him
Mpe vyake
just be my FWB ..
you will be more happier ....trust me