Its officially OVER Erick!

Its officially OVER Erick!

Amyner ushinde moyo
Wapo wataokukosanisha makusudi kama BT anavyonifanyia kwa hani wangu

Ukute hata Erick hakufanya la ajabu basi tu
Kikawakuna washaku

Mie hata nimkute guesti mwaka huu simwachi ng'o
Ni kweli Kongosho huyu BADILI TABIA anafanya makusudi kabisa..
Amyner inabidi awe makini
 
Last edited by a moderator:
punguza jazba mpenzi.....ni upepo tu utapita.

Umeona eeh
YNNAH ila huu sio upepo bhana...acha kumtia hasira wakati tushayamaliza...
Kanipa jambajamba aisee lol
 
Last edited by a moderator:
Unakataa ili kujikosha kwa Kongosho eeeeh????? Au mpaka niweke hati ya nyumba na kadi ya gari hapa?????



Hahahaha we bi shost una degree ya udaku! Hiyo nyumba ulopiga picha ni ya konnie na mumewe The Boss. Btw, naskia ndipo birthday party ya Kongosho itakapofanyika!
Na hiyo chain...i already explained earlier..it was a comforting gift.
Hiyo ride hapo..mmmh hapana!
 
Last edited by a moderator:
owkey Bishanga,nimeelewa..nice chit chat..lkn mmh yataka ustahimilivu kwa tusojua utani kama mie..

mh! hupendi nini na uko wapi? enewei kajaribu kuibadilisha jukwaa la siasa kwa kuweka news za chit chat... halafu uone zawadi yake! rahaaa
 
owkey Bishanga,nimeelewa..nice chit chat..lkn mmh yataka ustahimilivu kwa tusojua utani kama mie..

mh! hupendi nini na uko wapi? enewei kajaribu kuibadilisha jukwaa la siasa kwa kuweka news za chit chat... halafu uone zawadi yake! rahaaa
 
Hahahahaaaaaa mganga moyo wako..... Halafu acha kunipigia simu kila saa, mwambie bi mkubwa akukumbatie.... Usisahau kesho kuja na chokleti....

By the way mganga kiuno changu haoa utarudi tu kwikwikwikwiiiii





Too late...
Limbwata yako imeisha nguvu nsharudi zangu kwa Amyner full nenda tena kwa mganga wa BAGAH
 
Last edited by a moderator:
duuuh!..laiti kama ma love dove yote yangekua yana cotto-fire namna hii!!
 
Back
Top Bottom