Its officially OVER Erick!

Its officially OVER Erick!

...hapa nikitia neno KESI inaweza ikanigeukia...
cha msingi shem Amyner kama una uthibitisho na ilo...achia ngazi bibie...kuna watu wanakusubiria ati!
braza Erickb52 na wewe zile dawa ulizokunywa zinakupelekesha...hukaukiwiii!!KIU kila uchao!

Eti eh?????
 
Last edited by a moderator:

BAGAH unadiriki kutamka hayo?
Kuna watu na viatu...wewe ni KIATU tena kimrchakaa hadi soli
 
Last edited by a moderator:
@bishanga,inabidi niwe mpole, Amyner katishia kunywa sumu... eti hajui uso wake atauweka wapi hapa mjini...
wakati mie nishakubali kumheshimu kama mke mkubwa... haridhiki

Unajigonga eh baada ya kuharibu? Imekula kwako hiyo!!!!
 
Last edited by a moderator:
BAGAH unadiriki kutamka hayo?
Kuna watu na viatu...wewe ni KIATU tena kimrchakaa hadi soli
wewe nimekuonya mpaka napata hasira...
hujui kuiba.. Amyner alikua ni bonge la KIPOFU tatiza wewe umemgusa mkono
 
Last edited by a moderator:
unanijali kama nani?

Kama shosti angu sawa.
Mengine staki, huko huko kwa TS.

Nina ndowa changa kama yai la njiwa lol

We huyo kigoda wako hukohuko mie simtaki ma pressure ya nini kutwa kuvunja ndoa za watu FATAKI LA TANDALE
 
Heshma, Adabu, Busara, Vigezo unavyo !
Mi penda the way you respond.
Bt just wait for a moment tumalize agenda mezani, tunatoka ukoo wa kichifu agenda yako inazungumzika, itajadiliwa.

Nashukuru kwa kumpa moyo,ubarikiwe sana. Muda huu bishanga nimepiga goti namwombea mdau Erick asawazishe mambo yake.
 
wewe nimekuonya mpaka napata hasira...
hujui kuiba.. Amyner alikua ni bonge la KIPOFU tatiza wewe umemgusa mkono

ni kweli mi ndo kilaza...ila sio tabu naahidi kuwa mwaminifu hata chitchat
 
Last edited by a moderator:
Heshma, Adabu, Busara, Vigezo unavyo !
Mi penda the way you respond.
Bt just wait for a moment tumalize agenda mezani, tunatoka ukoo wa kichifu agenda yako inazungumzika, itajadiliwa.
Ni kweli agenda iendelee
 
Back
Top Bottom