Its my birthday today!

Its my birthday today!

Happy birthday rafiki yangu gagurito. Uwe na amani.
 
Happy Birthday nimeishanunua juice ya Sayona na vitumbua kwa ajili ya sherehe
 
Gagrito .....Wishing you a youthful feeling birthday!

Lolyz, hiyo avatar yako inakumbusha mdada mmoja alikuwa anaitwa Susy sijui ameenda wapi jamani.........aliweka hiyo avatar baaday kufiwa na ndugu yake wa karibu.....................
 
😛anda:....HAPPY BIRTHDAY GAGURITO.....😛anda:

"May God The Almighty Grant you all your Wishes"
 
Happy Birthday ggrto. Uishi na kuongezeka hekima na kimo ukimpendeza Mungu na wanadamu pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom