Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 309
Napenda sana kujifunza Lugha,sasa kingereza kwangu ni lugha ya 3 kujifunza,nikianza na lugha yangu ya kimpoto,kiswahili alafu kingereza,sasa kuna maneno yananitatiza sana kutoka kiswahili to kingereza,kwa mfano:
-kibao cha nazi
-kumvalisha kofia/mwnamke/mwanamme
-mtoto anatema udenda
-kujichokonoa meno
-kumpakata mtoto
Nahitaji msaada wa kujua maneno haya kwa kingereza tafadhali.
-kibao cha nazi
-kumvalisha kofia/mwnamke/mwanamme
-mtoto anatema udenda
-kujichokonoa meno
-kumpakata mtoto
Nahitaji msaada wa kujua maneno haya kwa kingereza tafadhali.