Its My 3rd Language

Maybe unaukaribia ukweli au ndo kama vile motocar?

hahaha hii Lugha bwana mie naenda nayo hivyo hivyo kwanza sikuzaliwa nayo
one day Pearl nikapiga simu somewhere namuulizia mtu mmoja kumbe jinsi nilivyokuwa na - pronounce jina lake wakawa wanaulizana ndo nani huyo
kutaja spelling kumbe yuko hapo hapo eh

ndo jina gani hili Pearl " Vermeulen Van Der Westhuizen" mzyuuuuuuuuuuuuuu
unajua wao wanvyojua kuyameza maneno
 
duh pole dia najua ingekuwa wabongo,wangekucheka ww mpaka basi pole
hahaha hii Lugha bwana mie naenda nayo hivyo hivyo kwanza sikuzaliwa nayo
one day Pearl nikapiga simu somewhere namuulizia mtu mmoja kumbe jinsi nilivyokuwa na - pronounce jina lake wakawa wanaulizana ndo nani huyo
kutaja spelling kumbe yuko hapo hapo eh

ndo jina gani hili Pearl " Vermeulen Van Der Westhuizen" mzyuuuuuuuuuuuuuu
unajua wao wanvyojua kuyameza maneno
 
ddnt c this dia its like tulifanya mtihani mwl alitoa maswali ya question tag,hope mnayakumbuka swali likawa ivi
Swali-she took my pen change it into question tag
Dem mmoja akajibu
Jibu-took you?
wote tulibaki kucheka kweli this lugha bana soo
hahaaaa the wood with the iron eeh
 
Napenda sana kujifunza Lugha,sasa kingereza kwangu ni lugha ya 3 kujifunza,nikianza na lugha yangu ya kimpoto,kiswahili alafu kingereza,sasa kuna maneno yananitatiza sana kutoka kiswahili to kingereza,kwa mfano:
-kibao cha nazi
-kumvalisha kofia/mwnamke/mwanamme
-mtoto anatema udenda
-kujichokonoa meno
-kumpakata mtoto

Nahitaji msaada wa kujua maneno haya kwa kingereza tafadhali.

yani kizungu ndokinaponiachaga hoi siku mmoja nikaulizwa kwa kiswahili ww ni mtoto wangapi kuzaliwa nikajibu.
nikaambiwa niseme kwa kizungu mm ni wangapi kuzaliwa nilibaki hoi labda leo nitapata majibu hapa.
mfano ukitaka kumuliza mama yako mm ni wangapi kuzaliwa utamulizaje?
 
Hichi hakina kikoloni chake mkuu! haa! haaa hahaaa!!,

its kind of taboo to ask your parent mm ni wa ngapi, (inafikirika kuwa utakuwa unajua)
 
peaking on your nose -ni bad habit - lakini kwa kiswahili ni kuchokonoa pua

sasa kuchokonoa meno je? peaking on your teeth!!? mmh! mbona kama haiji,

  • Hujakosea, Inasemwa hivi: "picking one's teeth" ndio maana vile vijiti vya kuchokonolea meno vinaitwa "tooth picks
  • Kumpakata mtoto: "carrying a child on one's lap"
  • Mtoto anatema udenda: "the child is drooling"
  • Kumvalisha mtu kofia: "to put a hat on someone's head"
 
eeeeh thx jamani altest british council is ea,u made me len smting new
  • Hujakosea, Inasemwa hivi: "picking one's teeth" ndio maana vile vijiti vya kuchokonolea meno vinaitwa "tooth picks
  • Kumpakata mtoto: "carrying a child on one's lap"
  • Mtoto anatema udenda: "the child is drooling"
  • Kumvalisha mtu kofia: "tu put a hat on someone's head"
 
Hichi hakina kikoloni chake mkuu! haa! haaa hahaaa!!,

its kind of taboo to ask your parent mm ni wa ngapi, (inafikirika kuwa utakuwa unajua)

yani we acha tu yalinikuta na nilichekwa kweli ila walonicheka awakuweza kujb.

siku ingine nikaulizwa ukitaka kusema kwa kingereza drphone anavuta mpira ss kwakingerezaa unasemaje
 
  • Hujakosea, Inasemwa hivi: "picking one's teeth" ndio maana vile vijiti vya kuchokonolea meno vinaitwa "tooth picks
  • Kumpakata mtoto: "carrying a child on one's lap"
  • Mtoto anatema udenda: "the child is drooling" -
  • Kumvalisha mtu kofia: "tu put a hat on someone's head"
to put a dress in some one's body - nayo itakuwa sawa???

injiniaaaaaa!!!! ze bolt is dead.
 
drphone is breathing boll,ah ah ah
yani we acha tu yalinikuta na nilichekwa kweli ila walonicheka awakuweza kujb.

siku ingine nikaulizwa ukitaka kusema kwa kingereza drphone anavuta mpira ss kwakingerezaa unasemaje
 
yani we acha tu yalinikuta na nilichekwa kweli ila walonicheka awakuweza kujb.

siku ingine nikaulizwa ukitaka kusema kwa kingereza drphone anavuta mpira ss kwakingerezaa unasemaje
dr phone is pooling a nini sijui?
 
mm wa St. government bana!
hivi ulishawaona hao wa St. sijui nn wakiwa kwenye hivi vyuo vyetu?
mi huwa nawaona wa St. government na semnary tu!,

Unamaanisha kwamba wao hua hawasomi vyuo vikuu vya majuu tu? au labda hawapati marks za kutosha kupata admission ktk vyuo vya hapa home?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom