Its My 3rd Language

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
Napenda sana kujifunza Lugha,sasa kingereza kwangu ni lugha ya 3 kujifunza,nikianza na lugha yangu ya kimpoto,kiswahili alafu kingereza,sasa kuna maneno yananitatiza sana kutoka kiswahili to kingereza,kwa mfano:
-kibao cha nazi
-kumvalisha kofia/mwnamke/mwanamme
-mtoto anatema udenda
-kujichokonoa meno
-kumpakata mtoto

Nahitaji msaada wa kujua maneno haya kwa kingereza tafadhali.
 
ah ah ah mm mwenyewe najifunza uncle,hela ya british councel kushnehi,kwann ukitumiwa text hujib uncle?
umenikumbusha text msg uliyonitumia.
sasa mimi na kizungu wapi na wapi?
i no water
 
ah ah ah mm mwenyewe najifunza uncle,hela ya british councel kushnehi,kwann ukitumiwa text hujib uncle?

hata mi ulinikwaza kidogo nikuchunie basi tu nilijua utalia. twin pie wangu......

mi hii ni lugha yangu ya 4 (hata wewe twin baada ya ile ya baba, mama, kiswahili afu ndo hiyo)
 
kibao cha nazi
hakuna kiingereza chake....

wewe sema hivyo hivyo kibao cha nazi.
labda coconut's excrator....
 
kibao cha nazi
hakuna kiingereza chake....

wewe sema hivyo hivyo kibao cha nazi.
labda coconut's excrator....

hahahahaaaa! hiyo inaitwa grater! (sijui kama kiinglish kimekaa sawa hapo)
coconut grater.
 
unajua nilijua nikiandika kwa makosa tu
kuna mtu atakuja kukosoa na mimi kupata jibu..
now umekuja,ha ha ha.....
 
peaking on your nose -ni bad habit - lakini kwa kiswahili ni kuchokonoa pua

sasa kuchokonoa meno je? peaking on your teeth!!? mmh! mbona kama haiji,
 
maambo mrembo????
natazama pm nikute japo hi,siioni.
mi mswahili,kiingereza chenyewe cha ugoko,,,
lakini hivyhivyo.....

same here...nimesubiri weeeeeeeee PM wapiiiiiiiiiiiiii

sijambo handsome, leo napata somo la kiinglish hapa...maana shule za kata siunajua

hahahahaaaa! hiyo inaitwa grater! (sijui kama kiinglish kimekaa sawa hapo)
coconut grater.[/QUOTE]

pale buguruni mwl alituambia ndo inaitwa hivo......usikute tulisoma wote pale gkundi!!
 
oooh its true twin ningelia sana
hata mi ulinikwaza kidogo nikuchunie basi tu nilijua utalia. twin pie wangu......

mi hii ni lugha yangu ya 4 (hata wewe twin baada ya ile ya baba, mama, kiswahili afu ndo hiyo)
 
thx dia at lest ww umesoma FM Academia,mm nilisoma msondo ngoma
peaking on your nose -ni bad habit - lakini kwa kiswahili ni kuchokonoa pua

sasa kuchokonoa meno je? peaking on your teeth!!? mmh! mbona kama haiji,
 
thx dia at lest ww umesoma FM Academia,mm nilisoma msondo ngoma
mm wa St. government bana!
hivi ulishawaona hao wa St. sijui nn wakiwa kwenye hivi vyuo vyetu?
mi huwa nawaona wa St. government na semnary tu!,
 
same here...nimesubiri weeeeeeeee PM wapiiiiiiiiiiiiii

sijambo handsome, leo napata somo la kiinglish hapa...maana shule za kata siunajua

hahahahaaaa! hiyo inaitwa grater! (sijui kama kiinglish kimekaa sawa hapo)
coconut grater.[/QUOTE]

pale buguruni mwl alituambia ndo inaitwa hivo......usikute tulisoma wote pale gkundi!!
hahahaa!
wapi bana, mwl wa buguruni mbona alituambia inaitwa the wood for scraching coconut
 
Napenda sana kujifunza Lugha,sasa kingereza kwangu ni lugha ya 3 kujifunza,nikianza na lugha yangu ya kimpoto,kiswahili alafu kingereza,sasa kuna maneno yananitatiza sana kutoka kiswahili to kingereza,kwa mfano:
-kibao cha nazi
-kumvalisha kofia/mwnamke/mwanamme
-mtoto anatema udenda
-kujichokonoa meno
-kumpakata mtoto

Nahitaji msaada wa kujua maneno haya kwa kingereza tafadhali.

Kila nikitafuta Kingereza cha - kumpakata mtoto sipati majibu fasaha mie hii ni Lugha ya nne kama alivyosema madame pale juu huwa najaribu kuunga unga ..kidogo
let me try
1.Embrace a baby
2. Hold a baby
 
Maybe unaukaribia ukweli au ndo kama vile motocar?
kila nikitafuta kingereza cha - kumpakata mtoto sipati majibu fasaha mie hii ni lugha ya nne kama alivyosema madame pale juu huwa najaribu kuunga unga ..kidogo
let me try
1.embrace a baby
2. Hold a baby
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom