Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,217
- 85,354
Bilashaka umebaini nini nilikua nakiwaza...Hahaha
Nimejikuta nacheka tuu
Bilashaka umebaini nini nilikua nakiwaza...Hahaha
Nimejikuta nacheka tuu
Afu ulivyonitag hii thread nikivyoifungua tu nikaona mtoto wa kirangi. Nikajua ni wewe na umenitumia picha ya ***censored** nikajisemea mamammamaa . Inna leo kanifata pm na suprise. Kumbe ilikuwa thread ya huyu muarusha nazjazHivi ww una fanya kazi sa ngapi au umeajiri watu usiku uko kama mwanga jf ...mchana ndo usiseme
Hebu niambie taratibu basiiiBilashaka umebaini nini nilikua nakiwaza...
Ebu naomba unifikishie hii kwake..Hebu niambie taratibu basiii
Poa PoaEbu naomba unifikishie hii kwake..
INTRIGUING AFRICAN PROVERBS.Madini ya Jamiiforums
Tumia tu, kama ni wewe huyo uko portable mpaka raha, ila tunasubiri ugeuke!
Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu
Kwa mama palishapendeza siku nyingi,unapoteza bahati!Jamani, kubadili kwanza pale kijini kwa mama kwanza Kisha njoo kwa Rose Montana Nazjaz.
Vinginevyo utakuwa umekosa blessings za mama