Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,092
Acha kumtaja taja kaka angu mshana jr ntamwambia aliamshe dude ohooooomuone. nitakutumia nyau la mshana sasa hivi
Acha kumtaja taja kaka angu mshana jr ntamwambia aliamshe dude ohooooomuone. nitakutumia nyau la mshana sasa hivi
utakuja kuliwa.. unadhani anapokaa wanaume hawamuoni? we ruka ruka tuVp mrembo naweza kukufuata pm... plz
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Aisee we mzuri hadi nikikuangalia najiona mm![]()
Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu
Jamani, kubadili kwanza pale kijini kwa mama kwanza Kisha njoo kwa Rose Montana Nazjaz.Nataka niliwekee sofa mpya hilo gheto lako,nipm
Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app
aaaaa haniwezi weewe. nAcha kumtaja taja kaka angu mshana jr ntamwambia aliamshe dude ohooooo
Alafu tunajaza apa uzi wa watu twende kwenye ule wako tuongelee mambo yetu...sikujibu tena apauliiona sana rudi tena katafute.. au wewe ndio wale daily pm 3,000?

rose naomba unichum hata nusu tu roho yango itulieJamani, kubadili kwanza pale kijini kwa mama kwanza Kisha njoo kwa Rose Montana Nazjaz.
Vinginevyo utakuwa umekosa blessings za mama
unaondoka kwenye huu uzi? basi nakuja ngoja nimsalimie rose kwanza. hapa ulikuwa unanizibia rizkiAlafu tunajaza apa uzi wa watu ndo kwenye ule wako tuongelee mambo yetu...sikujibu tena apa![]()
sas dah nini..? ungeipenda?
kwani wewe ulitaka kunichum wapi?Inna atahujumu afya yangu. Mtaji mjini ni afya, bidhaa zinatafutwa lakini sio afya
basi my love nimeacha. nilijua ushaondokaUmeanzaa![]()
![]()
![]()
![]()
Mm kweli noma akabadili kwanza kwa bimkubwa kijijini sigimbi.Jamani, kubadili kwanza pale kijini kwa mama kwanza Kisha njoo kwa Rose Montana Nazjaz.
Vinginevyo utakuwa umekosa blessings za mama