It's me, Rose

It's me, Rose

b16aec21d2fa80ed66f3481ce2f5b41e.jpg

Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu
Sasa sura yako maoni ya nini??
 
WIZARA YA ELIMU INAPASWA KUONDOA BAADHI YA METHALI KWA KUWA ZIMEISHA MUDA WAKE.


Kwa mfano:

*1.Mwenzako akinyolewa, wewe tia maji.*
Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.

*2.Barua ni nusu ya kuonana.*
Siku hizi watu wanaonana kwa watsapp. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.

*3.Akili ni nywele.*
Vipi kuhusu Mawigi?

*4.Mchagua jembe si mkulima.*
Siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi.

*5.Alalae usimuamshe ukiamka utalala wewe.*
Siku hizi unaweka alam mwenyewe unaamka husubiri kuamshwa na mtu.

*6.Polepole ndio mwendo.*
Siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki.
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Mkao huu vijana watameza tu mate Mimi mzee walaaa

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
 
b16aec21d2fa80ed66f3481ce2f5b41e.jpg

Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu
Mbona umekaa kikahaba kahaba?
Naikumbuka ile story yako ya yule mwanaume uliyekutana naye siku moja na siku hyohyo akaenda kukugonga na ukamkuta na hirizi kiunoni..

Ila umekaa poa kwa kukuinamisha kwenye mapagala
 
Mbona picha haionekani vizuri

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ww una fanya kazi sa ngapi au umeajiri watu usiku uko kama mwanga jf ...mchana ndo usiseme
Mimi mbona sikai sana JF? Uliza kama watu wengi wananifaham hapa.
Mimi ni low profile my decent girl.
 
Gigidigigidi...

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom