unamuita aje aone manyonyo ya rose?\
afu nenda kule kaijibu nakupa masaa 24 la sivyo nakupeleka sentro kama halima mdee.Pm gan hyo me sijaona![]()
hajambo ila bado kanuna nimeona nimuacheHajambo babu wa hiari?
miss chagga kamaliza diet yake ya kuharibu shepu?MAMBO KIBONGE WANGU. nakuchora tu ujue jinsi unavyonichora
ila kweli ni rose huyu ? mbona anafanana kama Hamisa mobeto? Inna![]()
Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu
hah ah ..namzingua tu huyu .. ila yupo na kishepu chake anasumbua watu hapa mjini.. lakini si unajua miguu ya dada zetu wa kaskazini ninapotokea.miss chagga kamaliza diet yake ya kuharibu shepu?
weeee hizi shepu ndio watu tunazitafuta mjini hapaUongo mbaya
Binti una sura nzuri sijui shape.
Tumia tu sura yako.
bwaha ha haMchuzi wa pweza umepata wapi asubuhi yote hii? Nasikia wee gari la mkaa haliwaki hadi liporomoshwe bondeni
Jf kweli inabeba kila kitu kama kokoro! Makonokono, kambale, mawe nk.
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
kwanini umewaza hivo mkuiuok, take a break.. jibu pm zetu sasa hivi.Sifanani na wacheza show za sengeli. Please..... Gimme a break
na makucha yakeee..