It's me, Rose

unasema hivo sababu hmjui mtoa mada...pia picha ni yeye halisi na huku uraiani tunamjua ni nani ila tumeamua tu kukaa kimya.

endelea kumuentertain!
siku njema
ooops!!! seriously nilijua tu kaamua kutuchezea akili kwa pic fake kumbe ni yeye original na ana mambo kedekede, lol

Basi sawa, ngoja nikae kimya tu.

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Tafadhali soma na usitanie Mungu amekuona unasumbuka na kitu fulani na amesema matatizo yote yameisha, na anakuja ktk njia yako na kukubariki na kama unaamini watumie watu sms hii na usitanie haya ni majaribu, na Mungu atakutengenezea vitu viwili vikubwa leo unavyovipenda kama unaamin acha vitu vyako vyote unavyovifanya na tuma hii sms kwa watu 25 kwa dakika 30 halafu utaona kesho ni cku nzuri ktk maisha yako.
Acha roho mbaya,huwez kuninyima kwa style hii!
 
unasema hivo sababu hmjui mtoa mada...pia picha ni yeye halisi na huku uraiani tunamjua ni nani ila tumeamua tu kukaa kimya.

endelea kumuentertain!
siku njema

Kama ni picha yake halisi basi anafahamu anachokifanya acha ajivinjari tu
 
b16aec21d2fa80ed66f3481ce2f5b41e.jpg

Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu
Jamani huyu Dada anapatkana wapi? Hatakama yupo Kibiti mm naweza kwenda kuzungumza nae mambo ya msingi

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa goti linahusiana na nini...?utakuwa wa kwanza duniani kuchagua demu eti "ana magoti bomba"...ha ha ha..wengi tunaangalia sura na makalio tu basiiiii:)
Huo utafiti uliufanyia wapi mpaka kufikia conclusion kua nitakua mtu wa kwanza duniani? au bado hujaamka vizuri?
 
Huo utafiti uliufanyia wapi mpaka kufikia conclusion kua nitakua mtu wa kwanza duniani? au bado hujaamka vizuri?
...Kuamka kitambo sana najifikiria kurudi kulala tena....kwa hio ni kweli kuwa unavutiwa na magoti....?sasa najiuliza hawa wavaa suruwali,wavaa madera....unapata tabu sana kuona magoti.Wacha mi nibaki na hivyo vya enzi na enzi
 
:D:D Sawa Mkuu.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom