min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,261
- 127,079
Yawezekana ni ukweli sema uthibisho ndio unahitajika hapo🤔Ila ni njia nzuri ya kufungua/kuchangamsha maongezi na mabinti
Yawezekana ni ukweli sema uthibisho ndio unahitajika hapo🤔Ila ni njia nzuri ya kufungua/kuchangamsha maongezi na mabinti
Yeah, tuliokuwa tunawaita watoto juzi tu nao wamekuwa sasa. Maisha yanaenda kasi sana!!Hata wa 96 mwaka huu wanazama 3rd floor 😁😁 muda uko kasi sana
We nawe unapenda uthibitisho sana. Relax. Enjoy small talk.Yawezekana ni ukweli sema uthibisho ndio unahitajika hapo🤔
😃😃Njoo nisome viganja hivyoMpaka mchanganyikiwe 🤣
Hayo mambo sijawahi kuyaelewa..
Kuna mambo matatu nataka niyathibitishe ukweli wake , astral projection, de ja vuu , reincarnationWe nawe unapenda uthibitisho sana. Relax. Enjoy small talk.
Hallucinations?Kuna mambo matatu nataka niyathibitishe ukweli wake , astral projection, de ja vuu , reincarnation
Astral projection nilishawahi fikia hiyo level sikuoana kama ni illusion tu 🤔 nitaacha pombe nithibitishe zaidi, kwa sababu nizoezi ambalo naweza fanya mwenyewe bila kuambiwa tuHallucinations?
Ila unajua unywaji sana unasabibisha kufunga sehemu ya rem sleep, unakua huoti bali unapata tu usingizi mzito, na ubongo unahitaji ndoto hivyo baada ya muda unaweza pata Delirium (unakuwa na state mbili kwa wakati mmoja) ndoto zinaanza kuja ukiwa macho, unaanza kuona mauza uza ukiwa macho 😃Astral projection nilishawahi fikia hiyo level sikuoana kama ni illusion tu 🤔 nitaacha pombe nithibitishe zaidi, kwa sababu nizoezi ambalo naweza fanya mwenyewe bila kuambiwa tu
Ili nitishike na mambo yenu ya zodiac signs😃😃Njoo nisome viganja hivyo
Kumekucha!! Hadi weweIla unajua unywaji sana unasabibisha kufunga sehemu ya rem sleep, unakua huoti bali unapata tu usingizi mzito, na ubongo unahitaji ndoto hivyo baada ya muda unaweza pata Delirium (unakuwa na state mbili kwa wakati mmoja) ndoto zinaanza kuja ukiwa macho, unaanza kuona mauza uza ukiwa macho 😃
Hadi nimesisimka 😍 call me baby one more time......Thanks baby❣️
Hii de ja vuu uwa inanikwaza, inanishtua..Kuna mambo matatu nataka niyathibitishe ukweli wake , astral projection, de ja vuu , reincarnation
😁Hadi nimesisimka 😍 call me baby one more time......
Huwa inanitokea sana😂Hii de ja vuu uwa inanikwaza, inanishtua..
😁😁
Jirani haujambo kheri ya mwaka mpya jiraniHadi nimesisimka 😍 call me baby one more time......
Kimeumana😅Hadi nimesisimka 😍 call me baby one more time......
ningepiga marafuku mambo ya kusherehekea birthday huo mda mngeutumia kwenye uzalishaji mali😎Mayoo weee! Niambie basi unatania 🙄
Sasa wewe ukifanya kazi kazini kwetu itakuwaje…!!
Maana pale lazima ofisi ikununulie cake, unataka hutaki lazima keki watu wale
hahahaBirthday Blessings Kipenzi, Mungu awe pamoja nawe & akupe raha kila siku. Team Jan, mambo ni yale yale keki una replace na kabichi.
Hapana verse ya mangwair 😂Kwa hiyo ukani imagine naimba kibwagizo cha Komando Jide