Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,039
Atachelewa kusimama hapo alipokaa, we mwacheNegative mindset😂
Atachelewa kusimama hapo alipokaa, we mwacheNegative mindset😂
Ni negative ila imenisaidia sana ku relax kwa mda bila stress😅Negative mindset😂
Huo uromantic ni asilimia ngapi? mbona tunaambiwa tuna viburi 🤣Aquarius nyie mnakata keki msimu wa valentine. Ndo maana mnakuwa romantic.
Hapo inategemea mtu na mtu asee , mambo mengine yamichangnyo ni kinyaa tu na kichefuchefu , mimi nikigundua mara moja nasitisha mkataba bila discussion😁😁 wadada hawana makoloni.. wameumbiwa kutosheka
Mens ndio mko moto… na venye mnahalalisha moja haitoshi.
Huyo mnywaji.. anatakiwa apate partner sober 🤣🤣🤣Mbona unamlazimisha kijana anielewe mimi na wakati we upo😂😂😂 hebu okota dodo apo unaniangusha sistaa
HaifaiSasa kama wote wnaywaji inakuwaje😂
Hamna sisi taurus nyota ya ng'ombe ndo tunakuwaga na vichwa vigumuHuo uromantic ni asilimia ngapi? mbona tunaambiwa tuna viburi 🤣
Mfano sa 💯 nimepishana nae tarehe 1. Kiburi ndio kimemweka hapo anang’ang’ania 💺🤣🤣🤣
Kwa mujibu wa elimu ya nyota kutoka uchina , wanadai unaweza kuwa ♉ ila msiwe mmefanana kitabia kutokona na tofauti ya siku tarehe ,masaa na mahali pa kuzaliwa kutoka na mizinguko ya sayariHamna sisi taurus nyota ya ng'ombe ndo tunakuwaga na vichwa vigumu
Huo bado ni uongo😅😅 3rd floor ndio miaka mingapi?😅Sidanganyagi umri mimi😂 nipo zangu 3rd floor
mambo ya wazungu haya tunaenda nayo kibishibishi tuKwa mujibu wa elimu ya nyota kutoka uchina , wanadai unaweza kuwa ♉ ila msiwe mmefanana kitabia kutokona na tofauti ya siku tarehe ,masaa na mahali pa kuzaliwa kutoka na mizinguko ya sayari
Min akilewa anakuwa mtata, anatakiwa mtu sober wa kunyoosha mamboKasheshe sasa hii😂
Hahaha , Kuna Ile ya kuwa sijui Pluto mlango wa mars , mara kuangalia reincarnated soul kwa kutumia uchambuzi wa nyota , Yani ni vurugu tu😂mambo ya wazungu haya tunaenda nayo kibishibishi tu
Hata wa 96 mwaka huu wanazama 3rd floor 😁😁 muda uko kasi sanaHuo bado ni uongo😅😅 3rd floor ndio miaka mingapi?😅
Mpaka mchanganyikiwe 🤣Hahaha , Kuna Ile ya kuwa sijui Pluto mlango wa mars , mara kuangalia reincarnated soul kwa kutumia uchambuzi wa nyota , Yani ni vurugu tu😂
Ila ni njia nzuri ya kufungua/kuchangamsha maongezi na mabintiHahaha , Kuna Ile ya kuwa sijui Pluto mlango wa mars , mara kuangalia reincarnated soul kwa kutumia uchambuzi wa nyota , Yani ni vurugu tu😂
Mimi Huwa nafanya utafiti kupata ukweli halisi Ila Kuna kitu kinaitwa astral projection nilikifanya kwa mda kidogo , naona kipo karibu na ukweli zaidi labda mwaka huu nijipe mda zaidi.😁😁Mpaka mchanganyikiwe 🤣
Hayo mambo sijawahi kuyaelewa..