Itapendeza.
Utani tu mkuuMmeshaniozesha jamani ila waja😏
Kumbe?Huyu atakuwa anataka kuhamia kwako hiyo ndio gear😂 hebu mzingatie!
Basi sawaMi sio mkuu wako
Hapana simfai 😁Huyu atakuwa anataka kuhamia kwako hiyo ndio gear😂 hebu mzingatie!
😁😁 sacrifice kijanaHahaha Sio kweli mda mchache mambo mengi
😁😁 watakuja kumtembelea kaka yao, wakutane na yasiowahusu washangaeKwani mtawatangazia? Mambo yenu ni siri yenu😅
Hahahaha ndio maana nipo single mpaka leo hii kichwa inatakiwa iwaze hela tu asee😂😂😁😁 sacrifice kijana
Hutaki uamke kutoka mtungini ukute chicken soup iko tayari
Mayoo weee! Niambie basi unatania 🙄kusherehekea bdei ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana 😎
Next time usifanye hivyo.
Leo party wapi seranKwani mtawatangazia? Mambo yenu ni siri yenu😅
Tafuta na wa kutumia nae 😁Hahahaha ndio maana nipo single mpaka leo hii kichwa inatakiwa iwaze hela tu asee😂😂
Kabinti kangu kapo acha kale matunda ya baba yake😂Tafuta na wa kutumia nae 😁
Dec mnajifungia zenu milimani
Binti ana nafasi yake, na ka mams kana nafasi yake 🤣 usinichanganyie madawa plsKabinti kangu kapo acha kale matunda ya baba yake😂
Nipate picha za sherehe sitaki kusikia kabejiHakuna cha party apa nikaandae kikabeji changu kidogo🥹