Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,037
Ikate ndogo ndogo 🤣Hakuna cha party apa nikaandae kikabeji changu kidogo🥹
Weka karoti ya kutosha na hoho. Usiweke maji mengi, Ikaange chap nakuja na mihogo
Ikate ndogo ndogo 🤣Hakuna cha party apa nikaandae kikabeji changu kidogo🥹
Aquarius tunaufanyaje mwaka sie? 🤣Capricorn hao mnafungua mwaka kwa kishindo.
Happy birthday. Endelea kula chumvi.
Ka mams ni kupandishana sukari tu asee, Mimi mahusiano yalishanishinda kwa sababu Huwa nataka mtu afuate mfumo wangu ambao ni wakikomunist hatari 😁Binti ana nafasi yake, na ka mams kana nafasi yake 🤣 usinichanganyie madawa pls
Ndio wale ukiwa natural unapendeza, achana na marasta 🤣Hawa ndo wale hawatakagi ata wake zao waende sokoni😆
MI'm ni January ila inapita bila hata kujuaHakuna party leo ndio tatzo la kuzaliwa January
Seran hajashindwa 🤣🤣Ka mams ni kupandishana sukari tu asee, Mimi mahusiano yalishanishinda kwa sababu Huwa nataka mtu afuate mfumo wangu ambao ni wakikomunist hatari 😁
Aquarius nyie mnakata keki msimu wa valentine. Ndo maana mnakuwa romantic.Aquarius tunaufanyaje mwaka sie? 🤣
Huyu hali chumvi, ana mabaki ya pilau la mwaka mpya
Wanaanza hivyo ila wanakimbia wenyewe tu , wadada wa siku hizi walivyo na makoloni kibao lazima watoke nduki tu 🤣Seran hajashindwa 🤣🤣
Acha kujifanya we mkoloni kushinda mababu zetu. Tulia Seran akupende
Gen Z uroto ukiisha utauboost na bamia 🤣Na pilipili ya kutosha chumvi kiasi sitaki kumaliza uroto mapema😂
Utajuaje Sasa😅Tutakuwish usijali bwashee😁
😁😁 wadada hawana makoloni.. wameumbiwa kutoshekaWanaanza hivyo ila wanakimbia wenyewe tu , wadada wa siku hizi walivyo na makoloni kibao lazima watoke nduki tu 🤣