Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,282
- 832,338
Eeh Mungu baba wa rehema linda PM zangu
Jr

Eeh Mungu baba wa rehema linda PM zangu

Visivyotakiwa kuwa hadharani
Jr![]()
Eeh Mungu baba wa rehema linda PM zangu
Jr![]()
Siri zote za uganga zimo humo sio?Mungu aepushilie mbali.... Lisitokee hili
Jr![]()
Kwanini unasema hivyo Mkuu?Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.
Nimeanzisha nyuzi mbili, kila moja ina deal na mambo niliyokuwa nikitumiwa pm kwa wingi. Kwenye nyuzi hizo naanika pm halafu nnaijibu hadharani. PM za upuuzi nimezikomesha kwa style hiyo.Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.
Nipe pasiwedi nihakiki kama kweliPM yangu safiii kama ukuta wa jumba jeupe la magogoni.
Kwanini unataka PM ziwe hadharani kuna ujasusi gani unaendelea huko PMIkitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.