complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 379
- 1,208
Habari wanandugu ikiwa imepita takriban miezi mitatu toka kampuni ya Samsung kuzindua simu zake za S10, S10 plus na S10 5G ikiwa na vitu vipya pamoja na technologia ya hali ya juu.
Kwangu mimi ni hii simu yao mpya yenye uwezo wa internet ya 5G ambayo imeanza kutumiwa na Korea kusini pamoja na Marekani wakiwa ni watu wa kwanza kua na hizi technologia ya Internet ya kasi je kwetu sisi huku ‘developing countries ‘ itatuchukua miaka mingapi kwa mitandao ya simu kuileta hii Internet yenye kasi pamoja na wauza vifaa vya Internet kuleta vinavyotumia hii Internet ya 5G?