Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

Tanzania tangu imeingia ni wiki mbili sasa,, wameshakufa wangapi? Updates plz

Unadhani mtanzania ana kinga zaidi za mwili mkuu?

Watanzania katika ubora wetu.

Kote duniani hata Africa wageni wanadhibitiwa mipaka inafungwa sisi maisha kama kawa.

Eeh mola wetu hebu utuhurumie siye.
 
Nashangaa kanisa katoliki wako kimya mpaka sahv.

Au wanataka mpaka PAPA afe ndo watoe tamko la kukemea korona

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha anaitwa mwakilishi wa mungu hapa duniani nadhani atakuwa bize kuwaombea waktoliki kupitia uwakilishi wake sasa corona ikipita nae sijui itakuaje? ila nadhani amesha agiza krolokwini'' za kutosha
 
Italia hapo jana Ijumaa imesema idadi ya vifo vinavyotokana na maambukizi ya virusi vya corona imepindukia 4,000, likiwa ni taifa liloathirika zaidi duniani. Ijumaa inatajwa kuwa ni siku mbaya zaidi kwa Italia baada ya kuthibitisha vifo 600 ndani ya siku moja. Asilimia 36.2 ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona ulimwenguni kote vimerikodiwa Italia, taifa lenye watu milioni 60. Aidha kiwango cha vifo nchini humo ni cha asilimia 8.6 kati ya wale walithibitishwa kuwa na maambukizo hayo, ikiwa ni idadi kubwa zaidi kuliko taifa lingine lolote. Duniani kote kumesharekodiwa takriban vifo 11,000 huku idadi ya maambukizi ya virusi hivyo ikifika 258,000.
 
1584788989117.png
 
hahahaha anaitwa mwakilishi wa mungu hapa duniani nadhani atakuwa bize kuwaombea waktoliki kupitia uwakilishi wake sasa corona ikipita nae sijui itakuaje? ila nadhani amesha agiza krolokwini'' za kutosha
Corona ilipoanzia China,

Viongoz kanisa katoriki wa italiano walidai Ni laana na adhabu Kwao kwa kutoithamini biblia takatifu na kutokumtii YESU KRISTU.

Sasa,
Corona imeingia Italia na inatafuna haswa kuliko ilivowatafuna Wachina.

Nasubiri niskie tamko lao tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa kujilipua kusaka Greener pastures wakae mkao wa kula maana mpaka Corona iishe yawezekana population ya Waitaliano ikawa imepwaya so wakaruhusu Immigrants toka Africa kwenda kujaza nafasi zilizo wazi so mkaokota Dodo kwenye mti wa Mng'ongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom