Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,910
- 3,022
Kwa sura ya karibu...unaweza sema haiwezekaniMarekani na nchi za ulaya wameiwekea vikwazo Urusi, vyakwazo ambavyo havijawai kutokea. Baada ya vikwazo Dunia imeshuhudia mfumuko wa Bei kutokana na vikwazo hivyo.
Sasa Leo tujadili upande wa pili, kutatokea Nini endapo marekani atawekewa vikwazo duniani, na kampuni zake kupigwa marufuku pamoja na pesa yake kupigwa marufuku Kama ilivyotokea kwa Russia.
Je, dunia itakuwaje bila ya hizi kampuni,huduma, za kimarekani.
Tweeter
YouTube
Amazon
Coca-Cola
Pepsi
Boeing
Visacard
Master card
Nike
Puma
Colgate
Nivea
Apple
Dell
Hp
Fellari
USAID
St Jevelin etc
Pfizer
Modena
J j Johnson
Chanjo za ebora, polio,surua,pepopunda, ARV
Etc
Je Dunia itakuwaje endapo marekani atatengwa na dunia, yaani kampuni zake, mashirika, Tch yake yapigwe ban Kama ilivotokea kwa Russia.
Katibu
Lkn inawezekana.....ipo siku Dunia itageuka na kutokea Baba mwengine,hapo ndio nguvu ya kumuekea Vikwazo itazalika,na yeye kuomba poo
Na Hii vita inayoendelea kwasasa huko Ukraine...ni dalili tosha ya kuanguka kwa Marekani katika siku za mbele,lkn madhara yake yataikumba Dunia
Tuombe mwisho mwema