Itakuwaje endapo dunia itaiwekea vikwazo Marekani na kampuni zake?

Itakuwaje endapo dunia itaiwekea vikwazo Marekani na kampuni zake?

Huwezi kusema dunia imuwekee vikwazo Marekani dunia haiwezi kuamka tu kumuwekea vikwazo. Lazima kuwe na nchi kiongozi itakayoongoza na kutoa tamko ili nyingine zifuate. Sasa huyo kiongozi ni nani?
Utamuwekea vikwazo wakati mtu anakudai?
Haaaaa
 
Na wazee wa porn nao wataathirika pakubwa.
 
Ile ni nchi ya ma-intellectuals, walishatengeneza 'base' sehemu kubwa duniani; na wale ma-genius wa uchumi, anga, n.k wamepewa kipaumbele katika kuishauri nchi na kufanya wanachokijua. Mpaka sasa hivi, hakuna nchi ambayo inaushawishi kidunia zaidi ya marekani.
 
Marekani na nchi za ulaya wameiwekea vikwazo Urusi, vyakwazo ambavyo havijawai kutokea. Baada ya vikwazo Dunia imeshuhudia mfumuko wa Bei kutokana na vikwazo hivyo.

Sasa Leo tujadili upande wa pili, kutatokea Nini endapo marekani atawekewa vikwazo duniani, na kampuni zake kupigwa marufuku pamoja na pesa yake kupigwa marufuku Kama ilivyotokea kwa Russia.

Je, dunia itakuwaje bila ya hizi kampuni,huduma, za kimarekani.

Google
Tweeter
Instagram
YouTube
Facebook
Amazon
Coca-Cola
Pepsi
Boeing
Visacard
Master card
Nike
Puma
Colgate
Nivea
Apple
Dell
Hp
Fellari
USAID
St Jevelin etc
Pfizer
Modena
J j Johnson
Chanjo za ebora, polio,surua,pepopunda, ARV
Etc

Je Dunia itakuwaje endapo marekani atatengwa na dunia, yaani kampuni zake, mashirika, Tch yake yapigwe ban Kama ilivotokea kwa Russia.
Katibu
Tajiri hanuniwi bi dada
 
Akizima zile Sattelite zake kule Ndio Tutajua!
 
Hapo kale wakati ustaarabu mkubwa umetamalaki Yaani Accient civilization za Mesopotamia,
MesoAmerica,Indus valley,Misri, Antlantis na Lemuria zipo chini ya Wana wa Annak
Enki na Enlil pamoja na washirika wao vilizuka vita vya kugombania milki vilivyopelekea kuanguka Kwa ustaarabu wote wa kale ambao ulikua advanced kwenye science and technology Kwa kiwango Cha juu mno
Kuliko ilivyo Leo hii baada ya Ile vita Wana wa Annak au Nephilims wakarudi kwao na kuitelekeza Dunia waliyoikoloni Kwa maelfu ya miaka baada ya ule uharibifu wakaikacha Dunia na kuwaacha watu kwenye kiza kinene mpaka Leo hii,
Imagine

Miamba Enlil na Enki kutwangana kulisababisha civilization nzima kuanguka
Leo ikitokea hao miamba wameanguka na hawana chance ya kuinuka trust me stone age itarudi baada ya miaka 200 mbele kama ilivyotokea Kwa ustaarabu wa mwanzo!
 
Ile ni nchi ya ma-intellectuals, walishatengeneza 'base' sehemu kubwa duniani; na wale ma-genius wa uchumi, anga, n.k wamepewa kipaumbele katika kuishauri nchi na kufanya wanachokijua. Mpaka sasa hivi, hakuna nchi ambayo inaushawishi kidunia zaidi ya marekani.
Ndo ukweli
 
Kuna furaha gani kuishi maisha ya hovyo yalioasisiwa na wazungu.
Ipo siku watu watarudi ktk nature na hilo ndio litakuwa anguko la hao ma fascist.
Tuna ishi ishi tu with no purpose!
 
Kuna furaha gani kuishi maisha ya hovyo yalioasisiwa ba wazungu.
Ipo siku watu wayarudi ktk nature na hilo ndio lirskuwa anguko ka hso na fascist.
Tuna ishi ishi tu with no purpose!
Mmmm
 
Back
Top Bottom