Itakuwa Vipi kama Jamii Forums ita......

tumuombe M/mungu atuepushie mbali,maana tumeshakuwa mateja wa JF. Nalog off

kwa ku-lo off sikuwezi.
Kama ungekuwwa un log on na off that freaquently naamini utakuwa umemzidi hata Mwanakijiji na Invisible.
 
Itasaidia kunipunguzia hasira za kupigwapigwa ban.

I hope that the rules of the game are all familiar to you, kwa kuepusha hizo nadhani ungeanza kwa kujitawala wewe binafsi....au ban unazopewa ni za uonevu?
 
I hope that the rules of the game are all familiar to you, kwa kuepusha hizo nadhani ungeanza kwa kujitawala wewe binafsi....au ban unazopewa ni za uonevu?

Asilimia kubwa ya ban za JF ni za chuki binafsi, wivu na husuda tu. Ila angalau wamempa RussianRoulette umod kwahiyo atasaidia kuwaelimisha mamod wenzake.
 
first of all I hope haitatokea..
huwa napenda ku spend time kwenye
forum ya Mwana Kijiji.. huko utapata up date za JF...
asante
 
Kwa uweza wake kamwe haitatokea,kwan naamini nitapata maumivu ya zaidi ya kutendwa kimapnz!
Jf haina masharti yoyote hata usiku wamanane usingizi ukikata naingia nacheka mwenyewe mpaka usingizi unakuja!
Jf napata tulizo la moyo hata mtu akiniboa,hata nikifulia nikiingia humu nasahau matatizo yangu nakufurahi tena!
Jamani mwenzenu jf ndio kila kitu kwangu nahis ikifungwa hata kwa siku moja nitaugua lol!
Mungu wetu naomba epushia mbali kamwe kitu km hiki kisitokee na kutupa maumivu ya moyo waja wako AMEN.
 
Kuna watu nitawamiss sana humu maana ndio itakuwa mwisho wa kuwasiliana nao.
 
ila kungekuwa na jukwaa la waliopata ban,yaani wakati wapo jela wawe wanapeana faraja wenyewe kwenye jukwaa lao
 
first of all I hope haitatokea..
huwa napenda ku spend time kwenye
forum ya Mwana Kijiji.. huko utapata up date za JF...
asante

I also hope so but I'm just trying to see the future through the 'Impossible'.
By so saying (Mwanakijiji Forum), you mean that will be the best substitute by then.....
 
Uteja "addiction" wa JF ni zaidi ya "unga". Kama unabisha muulize Nyani Ngabu.
 
Itakuwa vp kama wewe mwenywe usiwepo katika hili jamvi,:kila kitu kina wakati wake,mambo huja n akupotea,huja mengine mazuri pia
 
Vyovyote vile itakavyokuwa kwangu haina shida. Nilikuwepo hata kabla ya JF pia nitakuwepo hata baada ya JF.
 
......by any reason kama JF haitakuwa hewani kwa muda wa mwezi mmoja?
Unadhani wewe utakuwa na hali gani? Ni members gani wataathirika zaidi.
Je unadhani serikali itapumua? Au mafisadi watanawili?
Maadui wa umma watakenua? Au harakati zitahamishiwa facebook na twitter?
Najiuliza mambo mengi,
vp kama itaanzishwa Forum ya the banned yaani kama 'Prison' fulani hivi kwa ajili ya wenye ban tu wengine wasiwena access ya huko unadhani nini kitakuwa kinajadiliwa kule? Ni nani wataongoza kwa kupelekwa?
Kwasababu za kiudadisi je unadhani ban zitaongezeka?

ebwana nimeipenda sana hii...
Nawaza mambo kwa kina, na bado majibu sina,
uwezo wa Mungu unaonekana angeamua "INGEWEZEKANA" lol
 
Back
Top Bottom