Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Maendeleo gani yanayoletwa na CCM hii tunayoijua ?!. Maendeleo wakati uchumi wa wananchi umekufa ?!Wajinga wapi sasa unaozungumzia..na wewe ukiwemo au..?? Au wewe haumo..be specific..!cha msingi hapa wananchi tunataka maendeleo ya kiuchumi kwa jumla..kama ccm itaendelea kuleta maendeleo ya kweli kama inavyofanya kwanini tuiondoe madarakani..wacha itawale milelee....utakuwa ni ujinga.kuamua.kisa eti zamu ya wengine kula..upumbaf...
Yapi hayo ? Ya ndege !!.
Ethiopia wanazo ndege kuliko taifa lolote Africa , lakini kila siku ni njaa, ukimbizi nk nk
Hawa wetu ni wasanii na hawawezi kuleta chochote
Sent using Jamii Forums mobile app