Itachukua muda gani kupata upinzani wa kweli Tanzania

Njopino

JF-Expert Member
Apr 8, 2014
3,464
2,000
Wasalaam wana Jf.
Baada ya mambo mengi yanayotokea juu ya siasa za Tanzania na tetesi zinazoendelea kuwa tusubiri kuyaona makubwa zaidi ya haya Kwa vigogo wa cdm kuamia upande wa pili. Na hili ndio linanifanya nikubaliane na mwana jf mmoja ambaye ameandika kuwa ccm itatawala zaidi ya miaka Mia, sio Kwa kuwa ni chama imara ila kwasababu hakuna upinzani imara. Swali hapa ni Itatuchukua mda gani kupata chama cha upinzani kilichokuwa imara kushindana na ccm, na kikiweza kuchukua dola kiwe na uwezo wa kuunda serikali yake bila kuwa na mamluki wa chama tawala.
Uchambuzi yakinifu ndio msingi wa mada.

Nawasilisha
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,022
2,000
Lowasa kaondoka wataondoka waliomfata then watabakia upinzani kamili hawa ni kufa na kupona upinzani bado unajichuja watabakia cream ambao watasimama na wananchi dhidi ya wezi na mafisadi wa kodi na raslimali zetu
 
Born2xhine

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
798
1,000
Upinzani wa kweli unatoka moyoni mwa mtanzania tena yule mwananchi wa hali ya chini ..ambaye Kila siku anakumbana na (1)kodi ya kichwa_20000
(2)kurudishiwa korosho kuwa hazina ubora
(3)kutokupewa uhuru wa kujieleza na demokrasia
(4)kutumiwa kwa kodi anayolipa kununua ndege zisizo na manufaa kwake
(5)kuhujumiwa na tume ya uchaguzi inayoteuliwa na chama kimoja ili kukidhi matakwa binafsi ya chama hicho
N.k
Huyo ndo mpinzani wa kweli tunaye mngoja ...
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
20,212

Hatumngoji yupo
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,744
2,000
Hakuna upinzani kuna vyama vya siasa vyenye malengo ya kuchukua dola na kuweka sera mbadala ya hizi mbovu za ccm.
Vyama vipo ila vimezuiliwa hata kutafuta wanchama wapya, kwa kigezo kumuachia magufuli atawale kwanza. Kajitengenezea mazingira ya kutawala bila kubugudhiwa na uchumi umemshinda, sijui ingekuwa Enzi zile za peeepleees power angesema nini.
Vyama vinawajibu kutafuta wanachama wapya na kuendelea kunadi sera zao ili washiri uchaguzi wakiwa na nguvu sawa, lakini tunaona ccm inazidi kufanya siasa lakini vyama vingine vinaambiwa vikaombe vibali na vieleze sababu za kuomba vibali na waeleze wataongea nini na wananchi, ikiwa wataongea chochote nje ya walicho kiainisha kwenye barua ya maombi ya kibali, wote walioshiriki mkutano huo wankesi ya jinai.
Halafu unataka vyama vya siasa viendelee kiuwepo, labda kama ni kuwepo kwenye daftari la msajiri na sio kushiriki siasa.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
107,293
2,000
CCM inatawala kupitia mgongo wa wizi unaosimamiwa na Tume FAKE ya uchaguzi kwa kushirikiana na policcm, na ndiyo sababu maccm wanapinga katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Dhana ya kwamba ccm itatawala milele kwa sababu hakuna upinzani imara ni DHANA POTOFU. Ukweli halisi hata pole pole chakubanga anaujua.

Wasalaam wana Jf.
Baada ya mambo mengi yanayotokea juu ya siasa za Tanzania na tetesi zinazoendelea kuwa tusubiri kuyaona makubwa zaidi ya haya Kwa vigogo wa cdm kuamia upande wa pili. Na hili ndio linanifanya nikubaliane na mwana jf mmoja ambaye ameandika kuwa ccm itatawala zaidi ya miaka Mia, sio Kwa kuwa ni chama imara ila kwasababu hakuna upinzani imara. Swali hapa ni Itatuchukua mda gani kupata chama cha upinzani kilichokuwa imara kushindana na ccm, na kikiweza kuchukua dola kiwe na uwezo wa kuunda serikali yake bila kuwa na mamluki wa chama tawala.
Uchambuzi yakinifu ndio msingi wa mada.

Nawasilisha
 
Alex Mbwilo

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
343
500

Upinzani upo hata sasa tatizo ni mfumo hauruhusu vyama shindani kupata nafasi kwa namna nyingi kwa hiyo sana sana kwa wenye bahati ya kuishi sana huko mbeleni kama mazingira yatabakia hivi tutegemee vurugu na sio kuimarika kwa upinzani.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,962

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! - JamiiForums

Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla !. - JamiiForums

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums
P
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,992
2,000
Lowasa kaondoka wataondoka waliomfata then watabakia upinzani kamili hawa ni kufa na kupona upinzani bado unajichuja watabakia cream ambao watasimama na wananchi dhidi ya wezi na mafisadi wa kodi na raslimali zetu
Hahahaha hizi ni ndoto..upinzani wa kweli utatoka wapi bana..??? Kuna binadamu gani asiyetaka kula..akiona huko hapati mkate wake na watoto wake si anaenda sehemu yenye maziwa na asali...nani anataka kufa na njaa..sasa kama mapesa ya ruzuku yanaliwa nawatu wawili watatu, ungekuwa wewe ungevumilia..??? Upinzani unawexa kuwa na nguvu kama serikaii ni dhaifu haitekelezi ahadi zake..lakini ukipata serikali kama hii ya ccm, nakwambia milele hutakaa uende ikulu eti mpinzani...ndio maana kama China waliamua Rais wao aendelee mpaka wananchi watakapoamua vinginevyo..kwa manufaaa ya taifa na sio kwa manufaa ya tumbo la mtu
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,992
2,000
Wajinga wapi sasa unaozungumzia..na wewe ukiwemo au..?? Au wewe haumo..be specific..!cha msingi hapa wananchi tunataka maendeleo ya kiuchumi kwa jumla..kama ccm itaendelea kuleta maendeleo ya kweli kama inavyofanya kwanini tuiondoe madarakani..wacha itawale milelee....utakuwa ni ujinga.kuamua.kisa eti zamu ya wengine kula..upumbaf...
 
big_in

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
4,515
2,000
Wasalaam wana Jf.
Baada ya mambo mengi yanayotokea juu ya siasa za Tanzania na tetesi zinazoendelea kuwa tusubiri kuyaona makubwa zaidi ya haya Kwa vigogo wa cdm kuamia upande wa pili. Na hili ndio linanifanya nikubaliane na mwana jf mmoja ambaye ameandika kuwa ccm itatawala zaidi ya miaka Mia, sio Kwa kuwa ni chama imara ila kwasababu hakuna upinzani imara. Swali hapa ni Itatuchukua mda gani kupata chama cha upinzani kilichokuwa imara kushindana na ccm, na kikiweza kuchukua dola kiwe na uwezo wa kuunda serikali yake bila kuwa na mamluki wa chama tawala.
Uchambuzi yakinifu ndio msingi wa mada.

Nawasilisha
Upinzani ndio kitu gani?
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,266

Upinzani wa kweli utatokea CCM.

Tayari ndiyo tunao.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,654
2,000
Lowasa kaondoka wataondoka waliomfata then watabakia upinzani kamili hawa ni kufa na kupona upinzani bado unajichuja watabakia cream ambao watasimama na wananchi dhidi ya wezi na mafisadi wa kodi na raslimali zetu
Hao hao waliompokea lowassa?
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,992
2,000
Upinzani upo hata sasa tatizo ni mfumo hauruhusu vyama shindani kupata nafasi kwa namna nyingi kwa hiyo sana sana kwa wenye bahati ya kuishi sana huko mbeleni kama mazingira yatabakia hivi tutegemee vurugu na sio kuimarika kwa upinzani.
Sio kweli. Wenye kuamua ni wananchi kulingana na sera za chama..msidhani watanzania ni wajinga...wanapima..sasa kama chama hakina sera unategemeaje kupewa madaraka..? Chama kinachopinga maendeleo unategemeaje kupewa madaraka..???? Watanzania wanawaangalia tu..haki shindanishi maana yake nini..kwani upinzani huwa hawafanyi kampeni...? Au wewe ndio wale mnataka mnapomaliza uchaguzi tu na kipata serikali basi watu wasipumzike na kufanya kazi,waendelee kupigwa na siasa a hovyohovyo kila uchao..?? Nooooo wayyyy
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
20,212
2,000
Sasa kuna sababu gani ya kuwa vyama vya siasa si vifutwe tu tuwe nchi ya chama kimoja?
Wajinga wapi sasa unaozungumzia..na wewe ukiwemo au..?? Au wewe haumo..be specific..!cha msingi hapa wananchi tunataka maendeleo ya kiuchumi kwa jumla..kama ccm itaendelea kuleta maendeleo ya kweli kama inavyofanya kwanini tuiondoe madarakani..wacha itawale milelee....utakuwa ni ujinga.kuamua.kisa eti zamu ya wengine kula..upumbaf...
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,992
2,000
Hakuna upinzani kuna vyama vya siasa vyenye malengo ya kuchukua dola na kuweka sera mbadala ya hizi mbovu za ccm.
Vyama vipo ila vimezuiliwa hata kutafuta wanchama wapya, kwa kigezo kumuachia magufuli atawale kwanza. Kajitengenezea mazingira ya kutawala bila kubugudhiwa na uchumi umemshinda, sijui ingekuwa Enzi zile za peeepleees power angesema nini.
Vyama vinawajibu kutafuta wanachama wapya na kuendelea kunadi sera zao ili washiri uchaguzi wakiwa na nguvu sawa, lakini tunaona ccm inazidi kufanya siasa lakini vyama vingine vinaambiwa vikaombe vibali na vieleze sababu za kuomba vibali na waeleze wataongea nini na wananchi, ikiwa wataongea chochote nje ya walicho kiainisha kwenye barua ya maombi ya kibali, wote walioshiriki mkutano huo wankesi ya jinai.
Halafu unataka vyama vya siasa viendelee kiuwepo, labda kama ni kuwepo kwenye daftari la msajiri na sio kushiriki siasa.
Mnatapatapa hamna pa kushika sasa...wenye nchi tunasema baada ya uchaguzi watu wakae wafanye kazi za kujijingea uchumi...hatutaki siasa baada ya uchaguzi kwani zitatusaidia nini sasa kama serikali ipo..iachwe itekeleze mambo iliyotumwa na wananchi fullstop...uchaguzi mwingine ukifika tutakaa sasa kutathmini utekelezaji.wao..basi..chama kitatafuta wanachama wakati wa kampeni na kueneza sera zake...kama sera hazipo unategemea ni ni katika chama hicho...wajameni tuachane na mambo ya kale
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,992
2,000
Sasa kuna sababu gani ya kuwa vyama vya siasa si vifutwe tu tuwe nchi ya chama kimoja?
Ndio maana watanzania wakati ule wa kura za maoni kuhusu vyama hawakutaka mavyama ya watu kujitengezea ulaji..ila kwa maana na kwa maana ya kuleta challenge na kuibua madudu yanayofanywa na mwingine umuhimu upo..hatusemi serikali zote zitafanya kazi kwa uaminifu kama hii ya sasa ya Magufuli..ila tunatakiwa wote tujenge nchi kama tunakuwa na mtazamo mmoja..sio wengine wananunua ndege na kujenga miundombinu ya kimaendeleo wengine wanapinga wanataka pesa sijui ziende wapi..labda mifukoni wakazile...upinzani gani huu wa ajabu..wengine wanataka watu walipe kodi..wengine wanawatetea eti ni ukandamizaji..sasa nchi itaendeleaje..wengine wanawasaidia watu wakwepe kodi...wengine wanakumbatia mafisadi..
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
20,212
2,000
Kwahiyo unataka vyama viwepo lakini visishike dola sasa kwanini tuingie gharama za uchaguzi?
Ndio maana watanzania wakati ule wa kura za maoni kuhusu vyama hawakutaka mavyama ya watu kujitengezea ulaji..ila kwa maana na kwa maana ya kuleta challenge na kuibua madudu yanayofanywa na mwingine umuhimu upo..hatusemi serikali zote zitafanya kazi kwa uaminifu kama hii ya sasa ya Magufuli..ila tunatakiwa wote tujenge nchi kama tunakuwa na mtazamo mmoja..sio wengine wananunua ndege na kujenga miundombinu ya kimaendeleo wengine wanapinga wanataka pesa sijui ziende wapi..labda mifukoni wakazile...upinzani gani huu wa ajabu..
 
Alex Mbwilo

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
343
500
Sio kweli. Wenye kuamua ni wananchi kulingana na sera za chama..msidhani watanzania ni wajinga...wanapima..sasa kama chama hakina sera unategemeaje kupewa madaraka..? Chama kinachopinga maendeleo unategemeaje kupewa madaraka..???? Watanzania wanawaangalia tu..haki shindanishi maana yake nini..kwani upinzani huwa hawafanyi kampeni...? Au wewe ndio wale mnataka mnapomaliza uchaguzi tu na kipata serikali basi watu wasipumzike na kufanya kazi,waendelee kupigwa na siasa a hovyohovyo kila uchao..?? Nooooo wayyyy
Wananchi wanasema yao mkurugenzi anatangaza vingine!. kwa kuwa nafasi ya kufanya hivyo anayo kama hujui hili ndio linapunguza wapiga kura. kwamba tunamchagua tunaye mtaka lakini mwisho wa siku tunaambiwa kura zake hazi kutosha!. usiji tie upofu Mungu anakuonaaaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom