Kenya 2022 Itachukua miaka 1,000 Tanzania kufikia chaguzi za Kenya kama tutaendelea kuwa hivi

Kenya 2022 General Election
Mimi ni mwananchi niliyechoka kutawaliwa kwa shuruti na CCM.
OKEY.. Sasa tafuta namna wewe na wenzako kama wewe muwe na muwakilishi mwenye nia ya dhati ya kuongoza upinzani nje ya mfumo wetu tulio nao ambao upinzani=ccm. Ukibishana na hilo au ukishindwa hilo endelea tu kutii mamlaka iliyopo.
 
Machafuko tu ndio yatatuletea uongozi wa halali kwa ridhaa ya umma. Kenya leo hii wanaheshimiana baada ya kutiana adabu.
 
Machafuko tu ndio yatatuletea uongozi wa halali kwa ridhaa ya umma. Kenya leo hii wanaheshimiana baada ya kutiana adabu.
Sawa Tindo ila Una watu wenye nia ya dhati na ushawishi wa kiwango cha kuleta machafuko ili kuibadili serikali?
 
Sawa Tindo ila Una watu wenye nia ya dhati na ushawishi wa kiwango cha kuleta machafuko ili kuibadili serikali?

Tulia tu utaona, tumeanza kwa kuhakikisha jamii inapuuza box la kura, kwa hilo la kupunguza wapiga kura limeanza kufanikiwa sana. Baada ya hapo tutafuata hatua nyingine. Zimbabwe na Sudan respectively viongozi wao waliamini wanaweza kufanya lolote na kila uchaguzi walikuwa wanashinda kwa kishindo, ila siku isiyo na jina walijua hawajui.
 
Ukinuna, mwenzako anakula. Kwa kuwa kura ya mtu mmoja tu inamfanya kiongozi aongoze nchi, hata tukinuna sote, CCM itaendelea kutesa na kututesa. Katiba mpya ndio suluhisho, tubanane nao hapa hapa mpaka katiba mpya ipatikane.
 
Tume huru unaitolea wapi bro!! Wakati una katiba mbovu?
Ni kweli, Watanzania wengi hawalewi na ndiyo maana CCM inatumia mwanya huo kuendelea kuwakandamiza - ni hivi kuna umuhimu gani wa kikosi kazi cha kukusanya maoni leo wakati kazi yote ilifanywa na Tume ya Jaji Warioba ?

Utakuwaje na Tume huru wakati katiba yenyewe si huru - katiba inayompatia mamlaka yote mtu mmoja... Msingi wa nchi upo mikononi mwa mtu mmoja ambaye ni Rais wa Tanzania. Sasa unapataje Tume huru hapo ndugu ?

Watanzania kuweni makini mno na mambo haya !! mtaishi hivi kwa kudanganywa mpaka lini?
 
Tulia tu utaona, tumeanza kwa kuhakikisha jamii inapuuza box la kura, kwa hilo la kupunguza wapiga kura limeanza kufanikiwa sana. Baada ya hapo tutafuata hatua nyingine. Zimbabwe na Sudan respectively viongozi wao waliamini wanaweza kufanya lolote na kila uchaguzi walikuwa wanashinda kwa kishindo, ila siku isiyo na jina walijua hawajui.
Okey. Basi sawa, Mpaka siku hiyo ifike maisha yataendelea kwa mfumo huu uliopo na tuendelee kutii sheria bila shuruti.
 
Ila siku itakapofika tutafanya marejeo ya huu uhuni wote wa sasa, tusije kuonana wabaya maana haya matukio tunayarekodi.
Kila jambo lina historia, na tukio linapotokea rejea ya historia ni muhimu na sahihi. Ila kwa sasa huna namna nyingine. Unalazimika kucomply na mfumo uliopo hata kama binafsi unaona una tatizo au huupendi.
 
Yaan uchaguz wa 2020..nilifunga ofisi nikajumuika na jamaa zangu wanne..tukafunga safar mpaka sehem x..tena asubuh tuu njian tunaona watu wanapanga folen..tukawa tunawacheka sana..tukafika sehem x baada ya masaa 2 tukaagiza supu na kilichofata ni kunywa bia mpaka....ilipofika saa saba ya usiku tukaanza rejea kila mtu na kwake..uchovu wa kutosha asubuh naanza fatilia matokeo ..looh sikuamin macho yangu..nilihis ni hangover..moyoni nikasema kikinuka naunga mkono...khee moyoni sasa kura cjapiga nikaishia kulewa tuu...NB: chaguz zifuatazo ccm watapata shida sana naomba mamlaka walitazame kwa jicho la tatu!
 
Jamani kila siku napiga kelele nchi nyingi za Afrika zimeshaelimika mda sana kwenye uhuru wa demokrasia ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya, Ghana na South Africa. Inatia sana hasira kuona bongo bado tunapelekwa na CCM wanavyotaka nakutugeuza uchafu ebu oneni wenzetu Kenya mpaka saizi hujui Nani mmiliki wa jukwaa uchaguzi unafanyika kwa uhuru ukweli na uwazi mpaka kikwete anajiona uchi huko aliko.

Ndugu zangu watanzania hususani vijana tupigane kuleta demokrasia sasa maana hali hii imenitoa machozi kwakweli. Can you imagine naibu Rais William Ruto anampinga kwa fedheha Rais wake tena na viongozi wakubwa wanamuunga mkono na uchaguzi unafanywa kwa haki huku tume ya uchaguzi ikiwa very serious kwenye swala hili bila kutetea upande wowote ule. Watanzania tuamke mimi nawaambia hawa wazee akili zimezeeka kwanzia mama mpaka baba. CCM msituone makanyaboya.

View attachment 2319781
Acha ujinga na ulimbukeni. Usifikiri kushinda upinzani ndio demokrasia. Eti itachukua miaka 1000 tanzania kuikuta kenya kwa demokrasia. Utakua hata kumbukumbu huna. Chaguzi za kenya zote huishia kwa vurugu na mauaji kwa sababu anatangazwa mkikuyu kushinda badala ya mshindi.
Tuwaombee mungu labda safari hii tutapata rais kenya bila vurugu na mauaji.
 
Nini kweli, pamoja na mapungufu hayo, bado Kenya wana uchaguzi wa maana kuliko sisi. Huku kwetu hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Acha ujinga na ulimbukeni. Usifikiri kushinda upinzani ndio demokrasia. Eti itachukua miaka 1000 tanzania kuikuta kenya kwa demokrasia. Utakua hata kumbukumbu huna. Chaguzi za kenya zote huishia kwa vurugu na mauaji kwa sababu anatangazwa mkikuyu kushinda badala ya mshindi.
Tuwaombee mungu labda safari hii tutapata rais kenya bila vurugu na mauaji.
Sawa nitaacha ujinga wa kutoa mbegu zangu zizalishe toto bwege kama wewe
 
Tanzania hatujawahi kuwa na Uchaguzi tangu nchi ipate uhuru bali huwa ni justification tu zinafanyika. Nitamshangaa sana Mtanzania atakayepoteza muda wake kwenye kupiga kura 2025 kwa katiba hii - yaani bora Ulale kama huna la maana la kufanya.
Kweli kabisa

Ova
 
Elimu Elimu Elimu siku robo tatu ya watanzania wakielimika kwa kweli tutaeza kufikia demokrasia ya majirani zetu.Kwa sasa tule mtori nyama zipo chini tu
 
2020 kuna wakala wa chadema alipewa kesi kuwa alitaka kumbaka msimamizi wa kituo cha uchaguzi hii nchi burudani ni kila mahali, chaguzi zenu ni sanaa tu na kupotezeana mda wakenya wapo mbele ya mda sana
 
Back
Top Bottom