Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 11,663
- 24,560
OKEY.. Sasa tafuta namna wewe na wenzako kama wewe muwe na muwakilishi mwenye nia ya dhati ya kuongoza upinzani nje ya mfumo wetu tulio nao ambao upinzani=ccm. Ukibishana na hilo au ukishindwa hilo endelea tu kutii mamlaka iliyopo.Mimi ni mwananchi niliyechoka kutawaliwa kwa shuruti na CCM.