It was my day

na Dena Amsi alikua nani, ili kupoza machungu yake?

 
Last edited by a moderator:
Nimevumilia sana maana tangu muda mrefu nimekuwa nikimmezea mate Mamndenyi lakini akiwa free kama hivi, nikitaka kumueleza yangu ya moyoni basi wadau wanaleta kiwingu......nimewaachia wenye nguvu aisee...
 
Last edited by a moderator:
hata hivyo Mamndenyi kwa sasa bado yupo yupo tu
sitaki ndoa tena Katavi.
Nimevumilia sana maana tangu muda mrefu nimekuwa nikimmezea mate Mamndenyi lakini akiwa free kama hivi, nikitaka kumueleza yangu ya moyoni basi wadau wanaleta kiwingu......nimewaachia wenye nguvu aisee...
 
Last edited by a moderator:
na Dena Amsi alikua nani, ili kupoza machungu yake?

Kwa taarifa nilikuwa nawamiliki wote wawili niko na Mamndenyi kama nyumba ndogo wakati huo huo naenda kwa Dena Amsi kumpa haki yake bila Mamndenyi kujua (siri yako hii nakupa)

Nimevumilia sana maana tangu muda mrefu nimekuwa nikimmezea mate Mamndenyi lakini akiwa free kama hivi, nikitaka kumueleza yangu ya moyoni basi wadau wanaleta kiwingu......nimewaachia wenye nguvu aisee...
Katavi mwanaume haruhusiwi kukata tamaa mkuu unapambana mpaka mwisho bila kuangalia nani mbabe nani mnyonge
tena wewe hata kama ni mnyonge unajitutumua kama baunsa vile huku unaficha uso
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha haaah!! Najipanga kwanza niusome mchezo, kisha nikirudi ulingoni ni mwendo mdundo hakuna kurudi nyuma...
 
Ha ha ha haaah!! Najipanga kwanza niusome mchezo, kisha nikirudi ulingoni ni mwendo mdundo hakuna kurudi nyuma...

hahahaha umenipa wasi wasi Katavi kukata tamaa aise maana ni mbaya sana manoah nishakujibu aise hebu angalia kuhusu majibu yako kwenye post za juu hapo
 
Last edited by a moderator:
Hivi haujisikii vibaya kusema haya mathuthi
kwani aliyesema kuwa nilikuwa sijui tuko wawili ni nani
kwani umesahau usiku ulivyokuwa unaweweseka na kusema mambo yote uliyofanya mchana,
kwani kisa cha kusema ndoa yangu na Mr Rocky iko chumba cha wagonjwa mahututi ulijua ni nini.

Kwa taarifa nilikuwa nawamiliki wote wawili niko na Mamndenyi kama nyumba ndogo wakati huo huo naenda kwa Dena Amsi kumpa haki yake bila Mamndenyi kujua (siri yako hii nakupa)
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi hii ni siku yako bana acha kuchafua mambo
Hiyo manoah anataka kujua mpaka yaliyoendelea jikoni wakati hapaswi kufanya hivyo
Ndoa ishaisha na tuiache kama ilivyo bana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…