How do you calculate per capita GDP kama hakuna uhusiano na GDP? Maana paragraph ya kwanza unataka kusema kuwa GDP haina uhusiano na GDP per capita ila ina uhusiano na economic growth...GDP per capita ina uhusiano na economic development...you can't be serious....hayo yote yako linked my dear...what is needed is country policy on redistribution
Wewe main argument yako ambayo umeshindwa au unasita kuiweka wazi ni kuwa "no matter how big the economy of China becomes, it will never be enough due to its population size" kitu ambacho ndio kinatuletea utata na ubishi sababu hakuna logic ...
Wapi nimesema hakuna uhusiano kati ya GDP na per capita? unadai paragraph ya kwanza... ipi? hii:
First, my concetration from the beginning had been economic development and not economic growth! GDP and economic growth are brother and sister while economic development is brother and sister to per capita GDP and there's no way I can mix GDP and economic growth!
Yaani kwa uelewa wako hiyo paragraph inamaanisha hakuna uhusiano kati ya GDP na per capita wakati nimesema my interest ni economic development ambayo kupimwa kwake ni zaidi ya kuangalia GDP!!
Pili, cjui ni kwanini unaamua kunilisha maneno na kudai eti nashindwa kusema
no matter how big the economy of China becomes, it will never be enough due to its population size" kitu ambacho ndio kinatuletea utata na ubishi sababu hakuna logic ...
First, yanini unaamua kunilisha maneno ili kutetea hoja yako? Pili, ngoja tuangalie ambacho nimekisema zaidi ya mara moja:
Hoja hapa ni kwamba ingawaje GDP ya China inaelekea kuipiku ya US bado ustawi US ni mkubwa kuliko China and it'll take a time kwa China kuipiku US kwenye suala zima la ustawi wa jamii
Now let me ask you: hivi it'll take time ni sawa na kusema it'll never? Ikiwa naamini it'll never, namuogopa nani hata badala yake nitumie neno it'll take time? Au unataka kusema kwako wewe neno "it'll take time" and "it'll never" ni one and the same?
Let's assume kwamba kiingereza sikijui vizuri na hivyo sifahamu tofauti ya neno "it'll take time.." and "it'll never..!" Kuna hii hapa ambayo nimeandika kwa lugha ya kiswahili... Kiswahili ambacho sikujifunzia shule kama akina Mwigulu
Sina haja ya kujaza mi-post ya nyuma kwenye post hii lakini sikukataa maelezo yako bali nilieleza kinagaubaga ni namna gani China itachelewa kuifikia US na nikaeleza ni namna gani population ya China ilivyo threat kufikia malengo mapana ya kiuchumi... Bandiko langu hapo juu ambalo linakufanya uhitimishe kwamba watu hatuelewi linaonesha ni wewe ndio huelewi coz' data ndo hizo tena kwamba umaskini China bado ni mkubwa huku wenyewe wakisema
Hapa tena tufahamiane... hivi mtu akisema
atachelewa kufika maana yake hatafika
ever never? Hivi kuna tofauti gani kati ya kuchelewa na it'll take time? Na unataka kusema neno kuchelewa. tafsiri yake ya Kiingereza ni it'll never? Similar argument:
uliyosema yote ni sahihi lakini kitachosababisha China kuchukua muda mrefu kufikia hayo uliyosema ni population. Hadi uchumi wa China uwe reflected to the entire population na kufikia US standard, it'll take time... at least a decade! Pamoja na kwamba middle class inakuwa lakini asilimia kubwa ya Wachina wanaishi maisha ya kawaida sana.
AGAIN... do above sentences reflect what you say about me in any way? Does a sentence, "it'll take time... at least a decade..." is the same as saying "it'll never...?" Do I need to reveal to you that those are three different posts written at different time!! Sasa hata kama ninaamini hivyo unavyolazimisha wewe kwamba ninavyoamini kwamba eti namaanisha "China will never ever reach US standard.." yaani isitokee hata mara moja nikajisahau?
Mwisho unasema kutokana na "argument yangu" ambayo kimsingi sijaisema wala kuimaanisha popote, hatimae unahitimisha
kitu ambacho ndio kinatuletea utata na ubishi sababu hakuna logic...
I hate to say this, but you was supposed to say
ndio kitu kinachokuletea na ubishi sababu hakuna logic... na ofcoz, lazima upate utata kwa kuwa unabishania kitu ambacho ama kimeongelewa na mtu mwingine au hakipo kwenye mada hii! Sidhani kama maandishi yangu yana ambiguities zozote hadi atokee mtu wa kuyatafsiri....