kweli hio ni imaniKwa wale wanaoamini Biblia. Marekani yupo na ataendelea kuwa hapo juu ili maandiko yatimie, yeye ndio ataleta mambo ya mpinga Kristo na mengine mengi
kwa kuwalinda tu wana wa israel kamwe mwenyezi mungu hawezi kuicha marakani ianguke
Your so young to talk like that to me!
I have seen so many things, the days when you were still young!
Join Date : 11th September 2011
Posts : 1,754
Rep Power : 787
Likes Received549
Likes Given855
Hata huko US ni hivyo hivyo tu. 1% tu ndio wanamiliki zaidi ya 90% ya uchumi wote wa Marekani. Hakuna jipya hapo ni tabia ya ubepari mahali popote duniani.
Kwa wale wanaoamini Biblia. Marekani yupo na ataendelea kuwa hapo juu ili maandiko yatimie, yeye ndio ataleta mambo ya mpinga Kristo na mengine mengi
In terms of figures, YES lakini linapokuja suala la ustawi wa jamii, US ipo mbali sana as compared to China.
I am not sure if what I meant in my post is there're no poor people in US! Any country, with big population, there's no way all people will have good living standard, that's one! Second, when you read through your link, there's this sentence:According to recent statistics USA have 45m poor people who cannot afford a decent meal in a day. Now guess who are they or most of them? This is an entire population of Tanzania!!!!
45 Million Americans Still Stuck Below Poverty Line: Census - 45 Million Americans Still Stuck Below Poverty Line: Census
This mean, anyone with monthly income equal or less than $ 957 is considered to be living below the poverty line... but if we halve it to $ 478, it'd be still good income in Tanzania. However, let's for get about it for a little while and let's turn back to China!The annual income threshold for being counted as living in poverty was $11,490 last year for a person and $23,550 for a family of four."
This means that, China's below poverty line is drawn at $ 30 a month as compared to US's $ 957. So, if both sources are correct, then you can imagine how many people in China would be considered as living below the poverty line if US standard is used!Zheng Wenkai said that poor Chinese people live with less than $1 (£0.63) a day
Remember, still we're talking of international poverty line standard and not US standard. What's international poverty line standard, here the World Bank Poverty - Poverty & Equality Data FAQs reveals:...and (Zheng)added that the number would rise to more than 200 million if international standards of poverty were applied!"
Which means, if use $5/day as a poverty line in China, this will eventually becomes $ 150 a month, six times lower as compared to US's $ 957.The values of the international poverty line (e.g. $1.25, $2, $4, or $5 a day) represent different standards of what poverty means. The $1.25 a day poverty line (in 2005 PPP $) is the extreme poverty line and represents the poverty line typical of the worlds poorest countries... For the Eastern Europe and Central Asia (ECA) region, the $5 a day poverty line is often used.
news agency AFP quoted him (Zheng) as saying during a press conference...The poverty-stricken population not only suffer from low income but also face various difficulties in getting drinking water, roads, electricity, education, medical care and loans
.But who's Zheng? Here we go:It's a tough nut to crack. Poverty is a weak point for our goal of building a moderately prosperous society in all respects by 2020
But for me, this might be even more shocking:Zheng, who is vice director of the State Council Leading Group Office of Poverty Alleviation and Development, explained that the majority of poor Chinese live in inadequate structures, often in areas prone to natural disasters.
See: China's poverty cut off too low: expert|Economy|chinadaily.com.cnAccording to a report by Wei Shangjin, chief economist of the Asian Development Bank , the number of Chinese people living under poverty line is of more than 400 million, or 30% of the population.
Unapewa choice ys passport ya uchina au USA utachagua ipi???? naona mjadala umekwisha
Kwa wale wanaoamini Biblia. Marekani yupo na ataendelea kuwa hapo juu ili maandiko yatimie, yeye ndio ataleta mambo ya mpinga Kristo na mengine mengi
unajua unachanganya mambo. tungekuwwa tunaazungumzia GDP per capita marekani imepitwa zamani na nchi kama Emirates, Qatar na za skandinavia. tunazungumzia GDP ppp ambayo kwa mara ya kwanzza marekani inapitwa na uchina. ni ppp ndiyo inaipa sarafu ya nchi nguvu kwenye soko la dunia na kufanya nchi kuwa na say.I am not sure if what I meant in my post is there're no poor people in US! Any country, with big population, there's no way all people will have good living standard, that's one! Second, when you read through your link, there's this sentence: This mean, anyone with monthly income equal or less than $ 957 is considered to be living below the poverty line... but if we halve it to $ 478, it'd be still good income in Tanzania. However, let's for get about it for a little while and let's turn back to China!
According to International Business Times,IBTimes UK | Latest UK News | Breaking News | Business, Technology, Political & Sport News - International Business Times UK, More than 82 million people in China live below the poverty line. YES, percentage wise, China seems to be much better than US, coz' 45 million people is almost 14.5% of total US population while 82 million people in China is almost 6% of total population! However, the source continues: This means that, China's below poverty line is drawn at $ 30 a month as compared to US's $ 957. So, if both sources are correct, then you can imagine how many people in China would be considered as living below the poverty line if US standard is used!
Anyway, let's forget about US standard (US national below poverty line) and concentrate to international standard, the source reveals:Remember, still we're talking of international poverty line standard and not US standard. What's international poverty line standard, here the World BankPoverty - Poverty & Equality Data FAQs reveals: Which means, if use $5/day as a poverty line in China, this will eventually becomes $ 150 a month, six times lower as compared to US's $ 957.
And what kind of poverty affecting China, IBT continues: news agency AFP quoted him (Zheng) as saying during a press conference...
Zheng Wenkai continues:.But who's Zheng? Here we go: But for me, this might be even more shocking: See: China's poverty cut off too low: expert|Economy|chinadaily.com.cn
So, I hope if you sum up, you'll end at the same point I'd been pointing out in this discussion.
Wewe ndo unachanganya mambo! Hapa tunazungumzia China na US, vipi tena unaleta mifano ya UAE, Qatar na Scandinavian countries? Hoja hapa ni kwamba ingawaje GDP ya China inaelekea kuipiku ya US bado ustawi US ni mkubwa kuliko China and it'll take a time kwa China kuipiku US kwenye suala zima la ustawi wa jamii. Hilo la nchi ulizotaja nimeshalizungumzia kwenye post zilizopita na kuonesha ni jinsi gani nchi za Scandinavia zilivyokuwa na ustawi mkubwa wa jamii pamoja na kwamba GDP zake sio kubwa ukilinganisha na nchi zingine... sababu moja wapo na ya msingi ikiwa ni manageable population ambayo none of the country ime-exceed 10 million people... jambo ambalo kwa China ndio threat kubwa katika kufikia maendeleo mapana ya kiuchumi kwa wananchi wake!!unajua unachanganya mambo. tungekuwwa tunaazungumzia GDP per capita marekani imepitwa zamani na nchi kama Emirates, Qatar na za skandinavia. tunazungumzia GDP ppp ambayo kwa mara ya kwanzza marekani inapitwa na uchina. ni ppp ndiyo inaipa sarafu ya nchi nguvu kwenye soko la dunia na kufanya nchi kuwa na say.
chige sikatai kuwa ustawi wa jamii wa china bado sana kuikuta US. ila kama mada inavyosema china kama nchi imeipita marekani kwa utajiri. kwa hiyo tutegemee kupungua kwa ushawishi wa marekani kwenye siasa na uchumi wa dunia.
inawezekana kweli wengine wanatetea green cards.Hapa utamaliza energy kuelimisha watu...maana wameshaanza kujichanganya...per capita si ustawi wa watu...sijui elimu imefanyaje...mara hatuongelei GDP...mimi naona maluwe luwe tu hakuna mjadala na mtu ambaye wala hajui anachoongea...
Kwa hiyo anachosema maisha wa watu wa Brunei yako chini ukilinganisha na ya wamarekani...au?
I am not sure if what I meant in my post is there're no poor people in US! Any country, with big population, there's no way all people will have good living standard, that's one! Second, when you read through your link, there's this sentence: This mean, anyone with monthly income equal or less than $ 957 is considered to be living below the poverty line... but if we halve it to $ 478, it'd be still good income in Tanzania. However, let's for get about it for a little while and let's turn back to China!
According to International Business Times, IBTimes UK | Latest UK News | Breaking News | Business, Technology, Political & Sport News - International Business Times UK, More than 82 million people in China live below the poverty line. YES, percentage wise, China seems to be much better than US, coz' 45 million people is almost 14.5% of total US population while 82 million people in China is almost 6% of total population! However, the source continues: This means that, China's below poverty line is drawn at $ 30 a month as compared to US's $ 957. So, if both sources are correct, then you can imagine how many people in China would be considered as living below the poverty line if US standard is used!
Anyway, let's forget about US standard (US national below poverty line) and concentrate to international standard, the source reveals:Remember, still we're talking of international poverty line standard and not US standard. What's international poverty line standard, here the World Bank Poverty - Poverty & Equality Data FAQs reveals: Which means, if use $5/day as a poverty line in China, this will eventually becomes $ 150 a month, six times lower as compared to US's $ 957.
And what kind of poverty affecting China, IBT continues: news agency AFP quoted him (Zheng) as saying during a press conference...
Zheng Wenkai continues:.But who's Zheng? Here we go: But for me, this might be even more shocking: See: China's poverty cut off too low: expert|Economy|chinadaily.com.cn
So, I hope if you sum up, you'll end at the same point I'd been pointing out in this discussion.
chige sikatai kuwa ustawi wa jamii wa china bado sana kuikuta US. ila kama mada inavyosema china kama nchi imeipita marekani kwa utajiri. kwa hiyo tutegemee kupungua kwa ushawishi wa marekani kwenye siasa na uchumi wa dunia.
Ushawishi wa US bado utaendelea kuwapo na wala hauwezi kuondoka haraka haraka hivyo eti kwavile tu GDP ya China inaipiku ile ya US! Sitaki kuamini kwamba Japan ina ushawishi mkubwa kuliko UK wakati GDP ya UK imepitwa na ile ya Japan miaka kadhaa iliyopita...! But all in all, ni kosa kubwa sana kupima utajiri wa nchi kwa kuangalia GDP peke yake lakini ajabu yenu ni kwamba wakati mnataka tuangalie suala la GDP peke yake, hamtaki kabisa tuzungumzie GDP per capita ambayo kimsingi ndiyo inatoa picha rasmi. Lakini kubwa kuliko yote, wale wanaofanana na mimi kimtazamo kwenye hii mada wala hakuna anayebisha kuhusu predicted high China GDP tunachosema ni kwamba hata kama GDP ya China itakuwa kubwa kuliko US bado China itawachukua muda kufikia viwango vya US kwa kila idara...Hapa utamaliza energy kuelimisha watu...maana wameshaanza kujichanganya...per capita si ustawi wa watu...sijui elimu imefanyaje...mara hatuongelei GDP...mimi naona maluwe luwe tu hakuna mjadala na mtu ambaye wala hajui anachoongea...
Kwa hiyo anachosema maisha wa watu wa Brunei yako chini ukilinganisha na ya wamarekani...au?
Wewe uka-quote na kujibuIn terms of figures, YES lakini linapokuja suala la ustawi wa jamii, US ipo mbali sana as compared to China.
Sina haja ya kujaza mi-post ya nyuma kwenye post hii lakini sikukataa maelezo yako bali nilieleza kinagaubaga ni namna gani China itachelewa kuifikia US na nikaeleza ni namna gani population ya China ilivyo threat kufikia malengo mapana ya kiuchumi... Bandiko langu hapo juu ambalo linakufanya uhitimishe kwamba watu hatuelewi linaonesha ni wewe ndio huelewi coz' data ndo hizo tena kwamba umaskini China bado ni mkubwa huku wenyewe wakisema:Mara nyingi kinachoanza ni kukua kwa uchumi...then inafuata mgawanyo...
Kwa sasa China ni moja ya nchi zenye middle class kubwa...na ndio maana imekuwa soko kwa nchi nyingine...
Kote huko japan na South Korea...uchumi ulikua kwanza afu watu wakadai maisha bora (mgawanyo-redistribution)...sababu chenji ilikuwepo serikali iliweza kuwapatia hayo maisha bora...huwezi dai maisha bora na serikali haina pesa..
Maisha ya wachina yana improve daily...na maisha ku improve ni pale cheap labor inapoanza kudai mshahara wa maana...
Unadhani kwa nini baadhi ya viwanda vimeamia nchi kama Cambodia na Indonesia? Labor ya wachina sasa hivi imeanza kuwa expensive...
Na kuwakumbusha tu ni kwamba, wakati poverty line waliyoitumia US ni $ 957 kwa mwezi, ile ya China ni $ 30 kwa mwezi... na ndio maana wenyewe wameshasema kwamba, wakitumia international poverty line standard ya $ 150 kwa mwezi achiilia mbali ile ya US ya $ 957, China itakuwa na more than 400 million people (30%) wanaoishi below the poverty line as compared to 45 million (14.5%) in US pamoja na kwamba poverty line ya US ni mara sita ya international poverty line standard!population not only suffer from low income but also face various difficulties in getting drinking water, roads, electricity, education, medical care and loans," news agency AFP quoted him as saying during a press conference.
First, my concetration from the beginning had been economic development and not economic growth! GDP and economic growth are brother and sister while economic development is brother and sister to per capita GDP and there's no way I can mix GDP and economic growth!I was answering the guy who said America has the best Ustawi Jamii. When you have best Social programs you cannot have such huge amount extarpolating population under poverty line. You cannot have jobless people at peak levels. You cannot have people tajirisha insurance companies at the expense of their health care.
Population is almost 3 times of USA.
And please do not mix the GDP, Economic growth and Social security bear in mind USA is a capitalist economy and only 1% of her people are the Elite Supper Previledged. The rest are struggling in all aspect of life.