It’s official: America is now No. 2

It’s official: America is now No. 2

haya ni yale ya Nigeria kuingiza pesa nyingi kuliko zote Africa.pato la taifa si kigezo kizuri sana chakusema flani kamuacha flani.kwanza pesa nyingi hutembea kwa watu wachache mf wanaomiliki makampuni makubwa ama wafanyijibiashara wa kubwa.layer za chini zenye karibu 95% ya watu wote hupata pesa ya kukidhi mahitaji tu na si ziada.Nigeria nadhani ndiyo nchi iliyokuwa na pato kubwa la taifa kwa Africa this year SA na sisi(i don't underestimate our power) tuliachwa mbalih mno lakini Nigeria ni nchi yenye majanga mengi ndani ya Africa.being dense populated vijana wake wengi hawana ajira,watu wake hawapati mlo unaofaa kila siku na mengine.hali yao haifanani na ya wasouth hata chembe.

ukija kwa wachina bado wana wananchi wengi wanaoishi kwenye mazingira duni ukilinganisha na America.huduma hazijaweza bado kulingana na wamarekani na si America tu nchi nyingi za ulaya ziko mbele ya China kwenye haya.iwapo china ingekuwa na idadi ndogoh ya watu hatua zao zingekuwa kubwa mno sasa lakini nchi hii ina zaidi ya raia billion 1.3.ni ngumu kuhakikisha raia wak woteg wanauangalizi juu ya masuala kadha wa kadha.
l
ni possible kwa China kupata pato kubwa ila still anasafari ya kuwezqa kukaa juu ya wote.l

missing my Africa
 
Kwa nini unasema hivyo????...
Food for thought; While it is so easy to define who a Chinese is, it ain't that easy to define who an American is...! You know what nyumba kubwa? Whoever you are, whatever you are and wherever you are, you will always be closer to those Americans than you will ever be to the Chinese unless you are a Chinese. Does this make any sense to you? Ever wondered why they needed the Great Wall in the first place.
 
Mtumwa wa kuzaliwa mwingine huyu hapa, nafikiri ungeanza kujua Tanzania ni ya ngapi kabla ya kutuambia ya Marekani

tuambie tanzania ni ya ngapi coz ukiongea hivyo alafu hujui either, shows that you only have footpaths in your brain.
 
Food for thought; While it is so easy to define who a Chinese is, it ain't that easy to define who an American is...! You know what nyumba kubwa? Whoever you are, whatever you are and wherever you are, you will always be closer to those Americans than you will ever be to the Chinese unless you are a Chinese. Does this make any sense to you? Ever wondered why they needed the Great Wall in the first place.
That is hegemony ...China will soon change this...for example it was like this with UK once upon a time...not anymore

Nimepata bahati ya kusoma kazi za wanaoandika kuhusu current international politics...nimeona jinsi gani kwa sasa China inawapa homa...na kuwanyima usingizi...mfano kwa sasa Mchina ni wimbo kwa kila nchi ya Africa...amewafanya mpaka wa West wa adjust aid system yao...

Kwa sababu yeye pia aliwai kuwa aid recipient, amekuwa tofauti na donor wengine kwa kuwa anajua how it feels like kwa mfano kuamriwa jinsi ya kutumia misaada...huwezi kutoka ...huwezi ku own project kama design amefanya mzungu...
 
Food for thought; leo hii China ikikumbwa dhoruba kali ya Natural Disaster, msaada wa nguvu utatoka Marekani. On the other hand hiyo dhoruba ikiikumba Marekani msaada wa nguvu bado utatoka Marekani na si China.

Hizi habari za Marekani kuanguka ni njozi tu za watu.

Marekani haianguki leo, kesho, keshokutwa, wala mtondogoo.

Mchina bado yuko nyuma sana.

But I get it. I get it that some people relish the feeling of being able to convince themselves that what they are imagining in their minds is real when in fact, it's just a figment of their imagination.
 
Some people are salivating for the US to fall.

Watu wamekuwa wakiandika habari hizi literary tangu Ben Franklin alivyowaambia wamarekani "It's a republic, if you can keep it".
 
Once upon a time, the United States was the greatest manufacturing powerhouse that the world had ever seen. But now China manufacturesmore stuff than USA and China also accounts for more total global trade (imports plus exports) than USA.

According to US,this should never have happened. Several decades ago, the Chinese economy was a complete joke. But decades of incredibly foolish decisions by US politicians have resulted in the loss of tens of thousands of manufacturing facilities, millions of good paying jobs and the destruction of vast stretches of
economic infrastructure.

China exports up to computer equipment to US.
Meanwhile, one of USA main exports to CHINA is “scrap and trash”.
 
Some people are salivating for the US to fall.

Watu wamekuwa wakiandika habari hizi literary tangu Ben Franklin alivyowaambia wamarekani "It's a republic, if you can keep it".

Hawa watu wanachekesha na kucheza tu.

Mimi hizi habari za Marekani kuanguka nimeanza kuzisikia tokea miaka ya 80 wakati Japan ilipopaa kiuchumi na kuwa world's second largest economy.

Mpaka leo Marekani bado iko pale pale pamoja na uchumi kutikisika 2008.
 
Did you know that the USA buy nearly five times as much stuff from the Chinese as they buy from USA? According to government numbers that were just released, US imported 44.9 billion dollars worth of stuff from China in September but US only exported 9.3 billion dollars worth of stuff to them. And this is not happening because US economy is so much larger than China’s. In fact, the IMF says that China now has the largest economy on the entire planet on a purchasing power basis. No, the truth is that this is happening because US economy is broken. Every month, the US consume far more wealth than they produce. Because the outflow of money is far greater than the inflow, they have to go to major exporting nations and beg them to lend their dollars back to USA so that the US can pay their bills. Meanwhile, the quality of the jobs in US continues to go down and formerly great manufacturing cities are rotting and decaying example DETROIT . The US are committing national economic suicide, and most Americans don’t seem to care & understand.CHEERS!!!
 
Hizi habari za Marekani kuanguka ni njozi tu za watu. Marekani haianguki leo, kesho, keshokutwa, wala mtondogoo. Mchina bado yuko nyuma sana.

But I get it. I get it that some people relish the feeling of being able to convince themselves that what they are imagining in their minds is real when in fact, it's just a figment of their imagination.
You know what Nyani Ngabu, kuna watu wanaishi katika dunia ya kusadikika. Marekani hivi leo ikianguka, dunia itapata mtikisiko ambao it is hard even to imagine. China inaweza kuanguka na hata dunia isiyumbe na mfano mzuri ni pale Urusi iliposambaratika, the rest of the world moved on. Itaichukua China miaka mingi sana kuikaribia Marekani but that's assuming hiyo Marekani iko pale pale haisogei. The world's best brains have but one dream...to show their talent in the land of opportunity.
 
Last edited by a moderator:

I couldn't have said it better!
 
Mara nyingi kinachoanza ni kukua kwa uchumi...then inafuata mgawanyo...

Kwa sasa China ni moja ya nchi zenye middle class kubwa...na ndio maana imekuwa soko kwa nchi nyingine...

Kote huko japan na South Korea...uchumi ulikua kwanza afu watu wakadai maisha bora (mgawanyo-redistribution)...sababu chenji ilikuwepo serikali iliweza kuwapatia hayo maisha bora...huwezi dai maisha bora na serikali haina pesa..

Maisha ya wachina yana improve daily...na maisha ku improve ni pale cheap labor inapoanza kudai mshahara wa maana...
Unadhani kwa nini baadhi ya viwanda vimeamia nchi kama Cambodia na Indonesia? Labor ya wachina sasa hivi imeanza kuwa expensive...
uliyosema yote ni sahihi lakini kitachosababisha China kuchukua muda mrefu kufikia hayo uliyosema ni population. Hadi uchumi wa China uwe reflected to the entire population na kufikia US standard, it'll take time... at least a decade! Pamoja na kwamba middle class inakuwa lakini asilimia kubwa ya Wachina wanaishi maisha ya kawaida sana.
 
17 trillion for US and 9 trillion GDP for China...bado sana wakuu and if you look deep capital inflow to China inatoka Wall street.
 
17 trillion for US and 9 trillion GDP for China...bado sana wakuu and if you look deep capital inflow to China inatoka Wall street.
Sidhani kama hiyo ni good news kwa wamarekani...
Wangependa hiyo capital iwe invested kwao wapate ajira...

Lakini na mchina kwa sasa ana invest kwa kasi US...
Na hakuwa anafanya hivyo before sababu ya culture yao ya anti-capitalism...
Kwa sasa serikali ya China ina promote investments outside China...(with some govt incentives)
Hivyo hili nalo linabadilika...
kwani hata investments za Mchina Afika ni sababu ya push toka serikali ya China...
Makampuni mengi ya kichina yana hesitate ku invest nje ya China (ukiacha hawa machinga)

Nimesoma mahali only 13 percent ya private investments za China ziko nje ya nchi...

Sawa na mjapan...data nilizokuwa nazo ingawa ni za muda ni kuwa soko kubwa la magari ya mjapani liko japan...wa asia ni wagumu ku trust foreigners and foreign countries kibiashara...
 
Once upon a time, the United States was the greatest manufacturing powerhouse that the world had ever seen. But now China manufacturesmore stuff than USA and China also accounts for more total global trade (imports plus exports) than USA.

According to US,this should never have happened. Several decades ago, the Chinese economy was a complete joke. But decades of incredibly foolish decisions by US politicians have resulted in the loss of tens of thousands of manufacturing facilities, millions of good paying jobs and the destruction of vast stretches of
economic infrastructure.

China exports up to computer equipment to US.
Meanwhile, one of USA main exports to CHINA is "scrap and trash".

Dont forget hivyo viwanda vyote in China owned by Americans..
 
Sasa ungejua kuwa population ya Mchina ndio mtaji wake usingesema...

Population kubwa ni mtaji kiuchumi...mradi iende shule ...

Unadhani why Wall street walienda ku invest China...labor...then soko...

uliyosema yote ni sahihi lakini kitachosababisha China kuchukua muda mrefu kufikia hayo uliyosema ni population. Hadi uchumi wa China uwe reflected to the entire population na kufikia US standard, it'll take time... at least a decade! Pamoja na kwamba middle class inakuwa lakini asilimia kubwa ya Wachina wanaishi maisha ya kawaida sana.
 
It doesn't matter as long as they are in the form of FDI...si biashara ya pesa...
Ndio maana Marekani wanaiheshimu China...kwa njia moja au nyingine wameushikiria uchumi wao...dependency...

Dont forget hivyo viwanda vyote in China owned by Americans..
 
17 trillion for US and 9 trillion GDP for China...bado sana wakuu and if you look deep capital inflow to China inatoka Wall street.

Wanatapa tapa tu hawa haters wa USA na kujipa faraja hewa.

Kama alivyosema mkuu Mag3 hapo juu, uchumi wa Marekani ukiyumba basi uchumi wa dunia nzima unayumba.

Tumeona majuzi tu hapa 2008.

China bado sana kwa Wamarekani.
 
Dont forget hivyo viwanda vyote in China owned by Americans..

Unajua hawa watu wakisikia bidhaa sijui wao wanadhani ni magari na tivii tu!

Wanashindwa kuelewa kuwa hata ubunifu na ujuzi nao ni bidhaa.

Hata Facebook, YouTube, Google, na hayo mazagazaga mengine nazo ni bidhaa vilevile.

Sasa hiyo China ikija kwenye mambo ya ubunifu ni ziro kabisa.

Wao kazi yao ni kuiga na kutengeneza mafamba.

Amini usiamini hadi Beats by Dre (feki) Wachina wanatengeneza!
 
In terms of figures, YES lakini linapokuja suala la ustawi wa jamii, US ipo mbali sana as compared to China.

Siyo ustawi wa jamii tu. Hata kielimu (kuna international students kibao wa kutoka China Marekani), sayansi na teknolojia, inventions, innovations, pioneering, n.k., Marekani iko mbali mno.
 
Back
Top Bottom