Population kubwa ya china ni opportunity kwa investors kwa sababu, big population means big market... na ndio maana kuna baadhi ya wachumi wanakuambia, ukipata tenda ya ku-supply only miswaki nchini China, you'll turn to a billionaire!!
So, wakati big population ni opportunity kwa investors, on the other hand ni big threat katika kufikia ustawi wa kijamii na ndio maana had leo, nchi zenye ustawi mkubwa ni zile zenye small population! Na tatizo hili ndilo inazikumba nchi kama India na Brazil, ambazo pamoja na kwamba uchumi wao upo juu sana, bado wananchi wake walio wengi ni maskini!
Kwa upande mwingine, hata tukiamua kujikita kwenye hizo figures, ingawaje GDP ya China ni kubwa kuliko ya US lakini US ikiwa inamfuatia kwa karibu sana, ukisema ufanye computation ya GDP per capita utaona kwamba pa capital income ya US ni kubwa mara nne ya ile ya China!! Hii maana yake nini? Endapo tuta-assume China and US are new born wanaoingia duniani leo huku wakiwa hawana chochote zaidi ya teknolojia na huo utajiri wa IMF hapo juu kisha wote wakaambiwa watumie utajiri kuboresha maisha ya wananchi wao; keeping other factors constant, US na hilo pato lake dogo kwa China itaweza kuboresha maisha ya watu wake mara nne ya China! Kama zote wataamua kugawa at a flat rate, basi ikiwa Mchina mmoja atapata $ 250, Mmarekani mmoja atapata $ 1000!
Ukitumia mifano hiyo midogo ambayo hata asiye mchumi anaweza kuielewa, ndipo unaweza kufahamu ni kwanini tunasema bado sana kwa China kui-beat US...