Prove...Bill Gates alizaliwa kwenye familia ya mamilionaire msijifananishe.
Bill Gates alizaliwa kwenye familia ya mamilionaire msijifananishe.
Siyo familia tu, hata nchi tofauti.Bill Gates alizaliwa kwenye familia ya mamilionaire msijifananishe.
True: Serikali inatakiwa kuweka mazingira wezeshi kwanza ndo Tupate kila Bill Gate,Jack Ma,Elon Musk etc.Siyo familia tu, hata nchi tofauti.
Tanzania haina uchumi wa ku produce a Bill Gates in the true sense of a giant billionaire.
Where are the angel venture capitalist?
Bill Gates Mama yake alifanya kazi IBM. Where is our IBM?
Sawa, labda tuchukue maana finyu ya "Bill Gates" kama tajiri aliyefanikiwa kwenye biashara ya ICT.
Tumekuwa na kina Ali Mufuruki alijaribu hii biashara. Mpaka anafariki alikuwa analalamika mifumo ya kodi ya serikali ilivyombana. Na huyu kafanya biashara ambayo vitu kama computer havilipiwi kodi.
Where is our Silicon Valley? Bill Gates hakujiinua yeye mwenyewe tu, kulikuwa na industry. Industry ambayo ilikuwa subsidized heavily na serikali, tena na jeshi, kwenye research and develooment.
Bajeti ya serikali kwenye research and development kwenye haya mambo ni kiasi gani kwa mwaka?
Hivi Tanzania tuna hata jarida formal (achana na forums) la kutoka kila mwezi la kupashana habari za ICT? Hata la online tu?
Mi nafikiri ni kutopenda kusoma na kutozitambua fursa kijamii, zaidi ya hapo ni kutojua hali ya mtaa kiuhalisia.
Je, wewe unasemaje?
Tuwasaidie watakao drop baadae
Aliwahi kuwa kwenye kada ulizozitaja (ICT Enterpreneur).Huyu naye alikimbia shule?
Aliwahi kuwa kwenye kada kama nilizozitaja?
Kwetu sisi si kwamba serikali haiwekezi tu.True: Serikali inatakiwa kuweka mazingira wezeshi kwanza ndo Tupate kila Bill Gate,Jack Ma,Elon Musk etc.
bila Bidii na mchango wa Serikali aitowezekana
hahahahhaaAfu kuna mbongo ana drop uchochoroni.
Eric Mwenda? He went to SRSS back in the day.Nilikuwa naongea na Eric Mwenda, I hope you know who that is if you are in the industry in East Africa. Analalamika jinsi hali ya biashara ilivyo mbaya Tanzania, watu wa serikali wanafanya vitu arbitrary, kama wanakomoa wafanyabiashara, sheria hazieleweki kila siku zinabadilishwa kisiasa bila mantiki.
Will launch largest data center and cloud service in Africa in 2017
Sasa katika mazingira kama hayo ambayo kila rais anakuja na mfumo wake, unategemea vipi tupate Bill Gates wetu?
Ma Bill Gates wetu ndio hao kina Ali Mufuruki na Eric Mwenda wote wanalalamika mfumo unavyonuia kufanya "malaika waishi kama shetani".
Nimekupata brother KirangaAliwahi kuwa kwenye kada ulizozitaja (ICT Enterpreneur).
Hakukimbia shule.
Nakuonesha mazingira ya biashara yanavyofanya biashara iwe ngumu, kwa waliokimbia na wasiokimbia shule.
Nilikuwa natafuta mfano wa tycoon aliyefanikiwa kwa biashara ya ICT Tanzania.
Huyo kanijia mawazoni.
Nilikuwa naongea na Eric Mwenda, I hope you know who that is if you are in the industry in East Africa. Analalamika jinsi hali ya biashara ilivyo mbaya Tanzania, watu wa serikali wanafanya vitu arbitrary, kama wanakomoa wafanyabiashara, sheria hazieleweki kila siku zinabadilishwa kisiasa bila mantiki.
Will launch largest data center and cloud service in Africa in 2017
Sasa katika mazingira kama hayo ambayo kila rais anakuja na mfumo wake, unategemea vipi tupate Bill Gates wetu?
Ma Bill Gates wetu ndio hao kina Ali Mufuruki na Eric Mwenda wote wanalalamika mfumo unavyonuia kufanya "malaika waishi kama shetani".