Issue ya Kikwete, Kagame, Rwanda na Tanzania: Ushauri wangu

Sorry for writting it a bit Philosophical. I was sure some of you could not get it!
Refer the Quotes as I ended my post. I'm not sure If I should be writing in simplistic style.
Again sorry there is nothing to explain here!


No One is intimidating you. You swallow it or vomit it. They are both in your hands!
Nice time buddy! KakaKiiza
Mimi kidhungu thijui But i can smell here Mlugo's product....poor you!..shame on you Interahamwe!
 
Mkuu wetu si anajifanya Bwana Moris Nyunyusa.Ana piga Magoma kumi na mawili.Karibu atampita moris.sasa anaweza kupiga ngoma 20.Na nyimbo zikasikika vizuri.
 
Mimi kidhungu thijui But i can smell here Mlugo's product....poor you!..shame on you Interahamwe!
You seem to have "reading nose" that smells writings and that is funny part :)
And What on earth is Interahamwe?
Finally, Cool down buddy. Its not a war!
 
Mleta mada,kwa hali ilivyo si JK wala PK anayeweza kumwalika mwenzie kwa maneno waliyorushiana na kumaliziwa hivi karibuni na waziri wa mambo ya nje wa Rwanda aliyesema Tanzania ni symphasizer wa kundi la FDLR.Kwa maana nyingine inaweza kuwa inakisaidia hiki kikundi,hizi ni tuhuma nzito kama zinatolewa bila ushahidi unaojitosheleza.Viongozi wa EAC wao ndio wanaweza kutafuta mwafaka wa kuwakutanisha maraisi wa Tanzania na Rwanda cha ajabu wako kimya labda kama wanasuluhisha kwa kutumia mitandao yao ni suala la kukaa na kusubiri.
 
M7 awakalishe wakutanishe.
Sidhani kama ni issue kubwa kiasi wahitaji mtu wa tatu. Wanaweza ongea tu kwenye siku wakaweka appointment and then wakayaongea yalivyo, kila mtu akaridhika na yakaishia hapo.
 
Nadhani kuna jambo kubwa kuliko hili tunaloliona manake ushauri tu haupaswi kuleta zogo kama hili tunalolishuhudia leo. Nadhani Kagame ana hidden agendum! Otherwise he must be too proud and arrogant!!!
 
Mkuu Stefano Mtangoo,

Kuna post iliandikwa na Mawenzi. Ilifanana sana na hii ya kwako. Alishambuliwa sana na alionekana siyo mzalendo. Mimi nakuunga mkono kwa sana. Mbona ushauri wako unafanana sana na ushauri ambao JK anapenda sana kuutoa kwa watu/vikundi vinavyosigana??
 
Mi sio mtaalam wa diplomasia lakini najua vita ya maneno humalizwa kwa wahusika kukaa pamoja kujadili tatizo na kulimaliza. Nashauri rais Kikwete amwalike Kagame, wajifungie Magogoni waongelee hii issue na iishe once for all. Huko '"chamber" rais Kikwete anaweza kumshauri Kagame better way ya ku deal na Waasi na nina hakika baada ya hapo things will be better.

Kufanya hili kutaongeza heshima ya Rais wetu kwa kuonesha hekima na Kagame akikataa basi kila mtu atajua ni mtu wa aina gani. Kwa kufanya Hivi, JKM atabaki kuwa Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wetu. Hatapungukiwa na kitu na heshima itaongezeka.

Kutafuta nani kakosea katika public au ushauri wa nani ulipaswa ufanywe vipi haisaidii kwa kuwa kuna kutokuelewana kwa lugha kati yao. Kukutana ni better way ya ku deal na misunderstandings

Meekness does not mean weakness and It takes a strong man to swallow pride!

Nionavyo mimi.

jamani nataka kureport abuse..................hivi kweli huyu verified User ni Stefano Mtangoo?
 
Sidhani kama ni issue kubwa kiasi wahitaji mtu wa tatu. Wanaweza ongea tu kwenye siku wakaweka appointment and then wakayaongea yalivyo, kila mtu akaridhika na yakaishia hapo.
Na majeshi ya Tanzania yaliyoko DRC JK ayarudishe??na M23 inayoiba madini na kupeleka Rwana nakufadhiliwa na PK,PK aache kuifadhili??Kuondoa M23 goma,Kivu nikesama unaatarisha uchumi wa Rwanda Kitu hiki msiangalie kwa karibu hii ikitu iko mbali sana!!
 
Mimi kama mtanzania mpenda haki na amani, ninao wajibu wa kutoa yangu ya moyoni

Ushauri uliokuwa umetolewa na Rais wetu kwa rais wa Rwanda juu ya kiongozi huyo kuangalia uwezekanpo wa kukaa na waasi nchini Rwanda ulikuwa muafaka, sisi sote tunajua kuwa palipo na kutokuelewana lazima watu waweze kukaa na kuzungumuza

Lakini Rais Kikwete akupaswa kutoa ushauri nyeti wa namna hii kupitia mkutano akiwa nchini Ethopia bali alipaswa yeye kumueleza kiongozi mwenzie kama ushauri binafsi wa kumsaidia katika uongozi wake, kwa kufanya vile ni kama Rais Kikwete alikuwa anamshutumu kiongozi mwenzie. Viongozi hao ni mara kwa mara wanakutana kwenye vikao vyao vya jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa nini asingetumia muda huo kakaa naye akamshauri ? Ndio maana nasema ushauri ulikuwa mzuri lakini njia haikuwa sahihi

Pia leo nimesoma gazeti la Raia Mwema, Rais wetu akiwa nchini Malawi anawashutumu viongozi wa upinzani kuwa ndio wanaokuuza malumbano baina ya Rwanda na Tanzania, kwa kweli napo katika hilo naona ameendelea kufanya kosa kiongozi wetu. Kwa nini yeye akiwa kiongozi wa nchi asikae na hao wapinzani na kujadili kama anaona ndio wanaoukuza mgogoro huo. Mimi nijuavyo mahusiano ya Rwanda na Tanzania ni mazuri kabisa isipokuwa tatizo lipo kwa mambo yao binafsi kati ya Rais wetu na yule wa Rwanda

Kwa kitendo alichokifanya Mh. Rais cha kuwalaumu wapinzani akiwa nchini Malawi sidhani kama kinajenga umoja miongoni mwa chama tawala na vyama pinzani. Mara zote ni vizuri kutafakari kabla ya kutamka
 
mimi kama mtanzania mpenda haki na amani, ninao wajibu wa kutoa yangu ya moyoni

ushauri uliokuwa umetolewa na rais wetu kwa rais wa rwanda juu ya kiongozi huyo kuangalia uwezekanpo wa kukaa na waasi nchini rwanda ulikuwa muafaka, sisi sote tunajua kuwa palipo na kutokuelewana lazima watu waweze kukaa na kuzungumuza

lakini rais kikwete akupaswa kutoa ushauri nyeti wa namna hii kupitia mkutano akiwa nchini ethopia bali alipaswa yeye kumueleza kiongozi mwenzie kama ushauri binafsi wa kumsaidia katika uongozi wake, kwa kufanya vile ni kama rais kikwete alikuwa anamshutumu kiongozi mwenzie. Viongozi hao ni mara kwa mara wanakutana kwenye vikao vyao vya jumuiya ya afrika mashariki, kwa nini asingetumia muda huo kakaa naye akamshauri ? Ndio maana nasema ushauri ulikuwa mzuri lakini njia haikuwa sahihi

pia leo nimesoma gazeti la raia mwema, rais wetu akiwa nchini malawi anawashutumu viongozi wa upinzani kuwa ndio wanaokuuza malumbano baina ya rwanda na tanzania, kwa kweli napo katika hilo naona ameendelea kufanya kosa kiongozi wetu. Kwa nini yeye akiwa kiongozi wa nchi asikae na hao wapinzani na kujadili kama anaona ndio wanaoukuza mgogoro huo. Mimi nijuavyo mahusiano ya rwanda na tanzania ni mazuri kabisa isipokuwa tatizo lipo kwa mambo yao binafsi kati ya rais wetu na yule wa rwanda

kwa kitendo alichokifanya mh. Rais cha kuwalaumu wapinzani akiwa nchini malawi sidhani kama kinajenga umoja miongoni mwa chama tawala na vyama pinzani. Mara zote ni vizuri kutafakari kabla ya kutamka
ngoja utakapoambiwa wewe mrwanda.
Nilisema hayo nikaambiwa mrwanda mimi.
 
kwanini isiwe Kagame amwalike Rais Kikwete?

Mh, kwani aliyeanza kumwongelesha mwenzie ni nani? kwa sababu mara nyingi tunauliza kwa nini huyo aliyeanza kusema amesema? na kwa nini akamwambia hivyo mtu ambae anajua kabisa kuwa hawaivi!
kwa ushauri wa mleta mada kashauri J.K amwite Kagame, hapo sijawaza kama ni sawa au si sawa, ila swali langu linajikita kwa wanaopinga kuwa kwa nini Kagame asimwite J.K? Na pia Kagame hajawahi kukanyaga Tanzania muda. Hivi J.K amekwenda Rwanda lini mara ya mwisho? Hivi Kagame ndiye aliyeanza hii issue jamani tusiteteane hata kwenye makosa loh, of course J.K ni rais wetu na he is a human being, hatungependa apate shida yoyote tena ya nchi nyingine, ila nae asijisahau sana kuna watu ni characters hatawaweza, anavyowaweza watu wa nchi yake wa ugenini awaache kama walivyo
 
''There is something serious behind the scene'' kati ya hawa marais wawili ambacho hatukijui,We just let them keep on blowing some steam tutajua ukweli tu muda si mrefu,ushauri tu hauwezi kuleta mgogoro mkubwa kiasi hiki.

Pia inawezekana kuwa hili nali limo.
 
Back
Top Bottom