Issa Michuzi na vekesheni

Status
Not open for further replies.
kwi kwi kwi mkuu umeniacha hoi hapo.
Hivi ni nn kinacho mpa umaarufu Misupu?Mbona blog zipo kibao kama Mjengwa,Mpoki,michuzijr,haki ngowi n.k
jiulize mkuu....si ndio maana huyu anti UW na mwenzie dilunga wanainua bango...si unajua wabongo wakiona mtu anapaa sana wanamchawia
 
leo umenitolea kali kumbe kuna watu ambao maendelao ya watu ni tatizo? nanhiii akivinjari nchi za watu nongwa. hebu tujisifie jamani kuwa na mpiga picha wa kitanzania ambaye ni mbunifu. acha wivu bwana
 
unanitega???
sikutegi wewe mwenyewe umesema invisible ni mjasiriamali......je wamjua? una uhakika hajaajiriwa na serikali au taasisi?

enewei namfahamu sana MISUPU na naamini ninachopost. sipost kizembe mkuu nimejifunza kufanya homework kabla ya kupost shekhe.
sijabisha.......umesema ulimkuta somewhere anatumia credit card yake kuangalia porn.....mkuu unaweza kutuhakikishia? leta ushahidi...huko ni kumchafua bwana michuzi.......

sina maslahi popote mie simjui yoyote humu na sina shida...najua wabongo wakisahkujua taabu tupu...

BTW nikuulize wewe kama wewe kosa lipi kafanya michuzi so far?
 
investigator Dilunga kasema kuwa michuzi kapiga video ma dj wa VOA...hivi wewe mkuu ya dr masau ulianza hivi hivi mwisho wake tulioona mpaka leo ukala kona....

.......nimemsikia michuzi akihojiwa na redio VOA kuhusu ziara ya JK USA an wame address kama editor wa website ya serikali na blogger....... kwahiyo alipokuwa studio zao aspige nao picha? asiwarekodi kwa ukumbusho wake?....mjue wengi kafanya nao kazi kabla hawajaenda VOA.......
 
Karibu sana AbbyBonge
Kwa hiyo kwa nauli ya serikali unadiriki kuudanganya umma kuwa umeenda vekesheni??? hii inatilia shaka hata hizo nyuzi anazoripoti kama hajaongezea chumvi ili kusaka uhalali.

Enewei natoa hoja tu

Naona kama tunatofautisha sana maslahi ya waajiriwa serikali na wale wa mashirika binafsi.

Kumbuka hiyo unayoiita pesa ya serikali kwake ni pesa ya mwajiri wake. Tusiwachulkulie watumishi wa serikali kama watumishi wa kila mtu. Tusiwanyanyase kwa kodi zetu. Wana haki kama watumishi wengine.

Au ni vile anaita vekesheni? nahisi anaita vekesheni ili kutia naksi ktk blog tu sio kama anamaanisha hivyo, mbona kuna maneno mengi yanatumika kuleta radha ktk blog.

Mi naona iko safi tu kwa mawazo yangu.
 

Your spirited, if not selective response, chose to either totally ignore the "Freudian Slip" aspect of Michuzi's dramatic irony or genuinely missed the significance of that much revealing slip of the tongue.

It did not address the accusation that, not only Michuzi, but the entire entourage went vacationing, and the doctor's award in California, is largely a farce, bearing in mind the prevailing health conditions in Tanzania as anecdoted by Yesterday's New York Times, also posted here.

If nothing else, the subconscious surreptitious conditioning by confused serendipity on the part of Michuzi demonstrate a crowning achievement of cavalier clowning if not downright mediocrity and sheer idiocracy.Hardly the standards of Ikulu.
 
Last edited:
....BTW nikuulize wewe kama wewe kosa lipi kafanya michuzi so far?
duh kama umedakia hoja kwa mbele nakupa ushauri anza kusoma since mwanzo tumeshaadress concerns mbalimbali ambazo unaweza kuita makosa.

Mkuu naona una kibarua kimoja tu hapa.
 
Hivi hiki kiburi nani huwa anawapa hawa watu,yaani sikutaka kuchangia huku ila maneno haya ya dharau na kejeli kama kusema hakuna mtu ambaye anaweza kunifanya chochote yamenishtua sana!

Shame on you Michuzi!

anayway ndiyo nchi mmipendayo!na hii nimeipata kule kwa Michuzi
Betwen the line,ina maana mkulu baada ya US anaenda nchi zingine kuchukua msaada?
 
- Yaani sasa tutaanza kujadili vekesheni za Michuzi humu JF? Kwani Michuzi ni nani mwenyekiti wa CCM, au waziri? Hii ni kushusha hadhi ya forum tu, yaani mtu ana blog inayoaminika na dunia nzima leo eti atakua na shida ya hela ndogo za kutumbua vekesheni yake majuu,

- Wakuu enzi za ujamaa jamaa za kuhesabu visoda watu wanapokuwa Bar wanakunywa bia ziliisha, hizi ni enzi za ubepari kila mtu na ubavu wake kama huna omba msaada kwa wengine wakusaidie mawazo na wewe uwe na ubavu,

- Yaani furaha yetu bado ni kuona kina Kahama na Rupia tu wakienda vekesheni, akienda Michuzi basi imekwa nongwa, Michuzi endeleea kutuwekea habari za vekesheni yako mkuu sio siri inaudhi watu, lakini it is what it is!

Respect.

FMEs!
 
Invisible.

Do necessary Possible...Kuna tatizo hapa!tumeingiliwa na nitaku PM
 
duh kama umedakia hoja kwa mbele nakupa ushauri anza kusoma since mwanzo tumeshaadress concerns mbalimbali ambazo unaweza kuita makosa.

Mkuu naona una kibarua kimoja tu hapa.
nimeisoma toka jana...wewe umeona leo kupitia PC za ofisini....
 
Haya maneno nimeyakuta kwa michuzi

 
This is Frateline ,
Hi Guys kutoka Helsinki
Kwa kweli jamii forum hapa mnaonyesha uzembe hii sio mada ya kujadili ni majungu tu, Kwanza hakuna asiyejua ni kiasi gani Issa Michuzi anatuunganisha watu wengi tunaoishi ughaibuni, breaking news zake zinatufanya tuwe karibu na home, kwanza mimi ninafikiri kama Issa Michuzi akifika hapa Finland, wadau wengi watataka kuongea naye(kama ulikuwa haujui Issa michuzi is the biggest celebrity in Tanzania hasa hasa kutokana na mafanikio ya blog yake yenye wafadhali wenye pesa kama VODACOM, je wewe unayehoji unajua vodacom wanamlipa shilingi ngapi kuwatangaza kwa wadau millioni sita dunia nzima walipo wabongo,je jamii forum mnao wafadhili

Richa ya maelezo hayo , ninaomba tuache kuingia kwenye siasa za kupakana matope(Politics of cynism), kila wakati wanajamii forum tusiwe tunaangalia mabaya tu, too cynical to our leaders, na hii ni kasumba ya hata viongozi wa opposition Tanzania, inafika wakati wanasahau hata kunadi sera za vyama vyao wanakaa kutafuta nani fisadi au nani mchawi, acha hizo, tushindane kwa hoja na sio majungu, Kwani kuna mtu asiyejua kuwa mwandishi wa habari ni mtu wa kusafiri hasa hasa anayefanya kazi kwenye chombo cha serikali na mwenye connections kama za Issa michuzi, wadau wa Issa michuzi sio walala hoi tu hata viongozi kama kikwete ni mdau na sio ajabu anatembelea Blog ya jamii kucheck sisi wabeba mabox tunasema nini, Kama unataka kuhoji labda sema kwa nini Rais anasafiri nje na wala sio issa michuzi

Asanteni
 
Last edited:
Wewe uko kwenye msafara wa raisi kwa nini unaita vacation??? It is arrogant and ignorant about taxpayer money. I dont mean to hurt your feelings . You are really doing a good job to inform us but the word "Vacation"needs to be bunned. Thank you sir,

- Rais ameondoka na kurudi bongo toka jana akitokea New York, sasa kama Michuzi bado yupo huko majuu maana yake ni kwamba baada ya safari amebaki kuendelea na vekesheni yake, kama hatuelewi tuwe tunauliza kwanza badala ya kurusha hukumu bila facts!

FMEs!
 
nashangaa kuwa watanzania tunataka kuhalalisha ubadhirifu wa mali ya umma kwa sababu tu kafanya mtu tunaempenda sisi.
ikiwa anafanya ubadhirifu wa pesa, akiwa michuzi, akiwa mengi, akiwa LA, akiwa ROSTAM, akiwa Manji lazima wote wakemewe
hata kama anaunganisha watu tulioko nje ya nchi, haimpi madaraka ya kuwa ahalalishiwe kucheza na pesa ya umma.
kama tunataka kupambana na ufisadi, basi na tupambane na ufisadi wa aina zote. mdogo. mkubwa, wa tunaempenda wa tunaemchukia.
 

No,no, noooooo suala sio vekesheni .....misafara hii analipa nani???hii ndo issue.Fisadi sio lazima awe Mwenyekiti wa CCM au waziri,tukumbuke ufisadi mdogo ndo ulotuletea huu mkubwa shauri ya kuteteana kinafiki na kiurafiki.Msumeno unakata huku na huko sio lazima kwa akina RA tu hata Michuzi yumo.Tukiangalia wa juu tuu so how about wadogo waliojazana kila sehemu kwa ufisadi???plzzz rekebisha kauli ufisadi sio kwa wakubwa tu na wado pia including vidagaa kama Michuzi.
 
Mnako elekea sasa nikubaya jamani.
Pesa anafaidi Michuzi ziara anafanya michuzi wengine kha!
 
wewe ni low sana......ulikuwa una m monitor michuzi kwa siku zoote tangu asubuhi mpaka jioni alipokuwa majuu? unajua anafanya kazi zilizompeleka kule muda gani? na muda gani anakutana na jhamaa zake anaowafahamu kupiga nao picha..

....yaani hizo picha ndio zimekufanya uone kuwa michuzi muda woote tangu atue majuu alikuwa anavinjari? unasoma magazeti ya tz wewe? angalia news alikuwa analeta nani kama si michuzi.....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…